Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hebu fuatilia hizo conv alafu ulete mrejesho umegundua nini? Kama una hangover ondoa kwanza
Hawezi jua. Tatizo wanaojifanya wajuaji wengi huwa wanajua kidogo sana.

Yeye anadhani kila app ya sms inakuwa kama ilivyo kwenye simu yake.
 
Mimi Kila siku huenda sokoni kimasihara, hununua matunda mbalimbali kimasira, huyala yote kimasihara. Ila usiku uliopita nimehara Sana, nadhani Lile papai lilikuwa na Corona
 
Acheni kabisa, kuna binti mmoja ana shape kubwa yaani apa nkisema shape no shape kweli, ana sura nzuri wanapenda kumtania wanamuita mdoli, akipita kila mwanaume lazima ageuke.

basi siku moja nkamfata mtu wake wa karbu maana nilijua nkienda kichwa kichwa ntakula za uso, basi yule rafiki ake ni kama dada ake sio rafiki sana, akasema huyu humuwezi wewe, yule mdada akaniombea no. na kuchomekea maneno kidogo kua mimi n mstaarabu nna heshima kadha wa kadha.

binti ni mtoto wa 2000, hatujazidiana kidogo, juzi kaja geto baada ya kumpanga kwa siku 1, alivofika geto, kwanza akauliza hapa anakaa peke ako, kuangalia akakuta bonge la tv, fridge limejaa, bonge la kitanda, bonge la jiko, na alijua mi choka mbaya, bhana weee.

alipagawa sana binti wa watu hadu nkamuonea huruma, ila amejaa haswa, na nlkua na mpango, nisisex na yeye alikuja na plan ya kunichora tu, ila hisia wacha ziitwe hisia, nlimtafuna alizdiwa badae alkuja kulaumu sana.

yaani kiulaini, binti anabana matumizi, binti ana heshima, binti anajali tena atakua anakuja kunisaidia kazi, wacha niletee kitambi jstar mimi, ila nmeopoa jiko, akinizingua potelea mbali uko, ila huyu ni binti wa 2 mkali, kwa nilowai kuwala, nkiangalia list toka nmebalehe 2015, nmelala na wadada 26.

huyu binti n mzuri na anasumbuliwa na watu wenye kila kitu ila kaangukia kwangu na nilivokua mchafu, juzi nmefrahi sana, if possible badae ntamuoa siwezi kuacha hips zote zile achukue mwanaume mwngne na akchukua basi, niapate zaidi ya pale na zaidi ya pale ni poshy.
Bila picha nitaaminije?
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya mwanamke malaya na asiye malaya.
Na huu mstari mwembamba unaweza ukawepo kwa kuwa tu hujajua mambo ya mwanamke husika.
Mwanamke anaweza kuonekana mstaarabu na anayejishimu lakini siku ukijua faili lake utabaki mdomo wazi.
Indeed
 
Kimasihara mdada wa Pharmacy.

Huyu mdada sikuwa na Mazoea nae kabisa, lakini nilikuwa namchangia Sana Condoms. Kwa mwezi unaweza kuta nimechukua hata Mara 3.

Yaani akiniona naenda dukani pale anajua kabisa kuwa nahitaji condoms. Nikifika ananiambia kama juzi, namwambia ndiyo.
Ambacho hakujua zile condoms nilikuwa sizitumii Mimi mwenyew, nikichukua pakt Kama 3 au 4 nyingine nawagawia washikaji zangu.

Siku moja nimeenda ananiuliza, zile umeshamaliza kaka? Nikwambia ndiyo! Eeeh watu mnapiga kazi. Nikamwambia si unajua ukijua kumfuraisha mwenzio hataki mpumzike rafki yangu. Mmmh haya bn!

Nikamwambia ila hizi za leo ni kwa ajili yako (nilichomekea tu ila ilikuwa kwa ajili ya demu niliyekuwa na miahadi nae kwa kesho yake). Mmmh wew kaka!

Ndo hivo, tena zitunze kwenye pochi yako, ukifunga unistue, nakaa pale kukusubiri. Si unaona hadi boxer inavyoinuliwa huku! Akachungulia akaona umbo D mbele ya Suruali. Mmmh, akaguna! Mi nikamwambia naenda kukusubiri pale! Nikamwachia namba! Hata jina tu simfahamu! Nikaenda kutega kisehemu ambacho nilikuwa namwona, nikawa namcheki anavyo nichungulia!

Saa 1, sms hiyo so tunaenda wapi? Nikamwambia nifuate kwa nyuma! Mdogo mdogo, haoo Bongo Records, nikalipa tukazama room na kuanza kuchanganya bits Gusanisha hasi na Chanyaa, gusanisha, mamaweeeee! Gusanisha hasi na chanyaaa, gusanisha mama weeee!!!!

Baada ya kumla nafsi ilianza kunisuta akawa amepoteza mteja wa Condoms.
Hahaaaa
 
Naaam safari na muziki.

Uzuri kimasikhara haiexpai.....kila siku mambo mapya. Bila kuwasahau majelegend walio fanya huu uzi kuwa hapa ulipo.

Juma p maharagwe wewe unanafasi special kwenye huu uzi

acronomy

Kiga kyoto mzee wa mackenzie na boss rona

Mzee mmoja anaitwa burna wa stori ya hamida miaka ya sabini..

barafu na mashombe shombe wa huko shinyanga na wahispaniola

Yule bwana aliye mla mtawa

Heshima kwa yule dada alieenda intern ya utabibu zanzibar akala kimasikhara paka ndoa

@lugumya na stori zake.
Kumbe mnajuana
 
Amekuchanganya na mtaalam wa Chai mwenzio Mikito Mikitoo..[emoji3][emoji3][emoji3]
..Ila zako burudani Sana na ukweli kabisaa
huyu mwamba hata kama ni chai basi kaunga asali kutokana na kupanda bei kwa sukari kipindi hiki covid-19... so interesting,hili jukwaa la burudani mtu anakomaa na maushahidi kibao eti chai mara muongo wapite kimya.....
 
THE BIGGEST SECRET

Tongoza ikiwa tu unalenga MAHUSIANO.

kama unatafuta mbunye TUMIA MASIHARA, usitongoze!! Never!!

Never tongoza ikiwa unataka kutia tu, UTAFELI AU UTACHUKUA MUDA MREFU
Kweli naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom