Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wenye madem zenu gongo la mboto. Mnaibiwa.
Screenshot_2020-06-14-14-36-43-1.jpeg
Screenshot_2020-06-14-14-36-58-1.jpeg
 
Huu uzi balaa sana japo baadhi ya maeneo chai zimezidi!

Ngoja na mimi niandike kdg japo sio mwandishi mzuri!

Mwaka m1 nikiwa masomoni ughaibuni, wikiendi 1 katika kupumzisha akili baada ya masomo ya wiki nzima nikajisogeza club 1 ambayo waswahili wengi wanajuika, japo ngozi nyeupe wanaopenda waafrica huingia humo!
Katika kucheza cheza mziki nikamfuata lady mmoja ambaye baadae nilikuja gundua ni raia wa nchi moja ya america ya kusini! Tumecheza kidogo baadae tukakubaliana tukapate kinywaji kdg, tumerudi stejini tukacheza cheza ikaanza michezo ya mahaba ikiwemo kissing(kwa wenzetu ni kawaida) baadae ananiuliza unaishi wapi? Nikamtajia mtaa, imefika saa 8 nikamwambia ratiba yako ipoje akaniambia wewe tu, tukaondoka na kwenda kupeana mambo, alikuja ondoka saa 5 asbh, hatukupeana hata namba!

KISA KINGINE!
Ughaibuni house warming parties ni kitu cha kawaida, mtu mmoja anaanda party nyumbani kwake na kualika marafiki!
Sasa kuna pisi moja inatokea nchi moja ipo kusini kdg ya Tz, iliandaa party nyumbani kwwake ikaalika watu kibao na ikawambia wawaalike na marafiki zao! Demu mmoja tulikuwa mara nyingi tunafanya nae assignments akaniambia kuna demu kaanda party wikiend kama una nafasi twende pamoja nikamwambia haina noma!

Wikiendi mida ya saa 1 demu kanipitia tukaenda, party limechanganya mida ya saa 5 yule demu ananiambia amechoka anaondoka, mimi nikamwambia bado nipo nipo, akasepa zake!

Mishe mishe zikiendelea za party nikasema ngoja nitoke nje nikapunge upepo kdg(wengi walikuwa wanafanya hivo)
Nikiwa natoka kwenye korido kumbe lile pisi lililoandaa party lilikuwa linaingia ndani likitokea nje! Nikafanya kama kutawanya mikono kama mtu anayejiandaa kum-hug mtu(pombe hizi) nikashangaa nalo limerespond, tukakumbatiana na kukiss kama sekunde 10 then kila mtu akaendelea na safari yake! Kumbe inaonyesha lilikuwa na ugwadu! Mimi nipo nje kumbe lenyewe likaweka mazingira fulani, kuna room ipo along ile korido limelegeza mlango, muda narudi ndani kumbe lenyewe lilikuwa mwisho wa upande wa korido linanilia timing, ile naingia likaja likanishika mkono na kunivuta uelekeo wa ile room, ilipigwa show ya dakika kama 15 baadae demu linapigiwa simu kuulizia mwenyeji upo wapi, likasepa, nikacheki mazingira na mimi nikachomoka, baadae washkaji wananifuata na kunitania 'tumekuona umekula mzigo'

Sorry kwa uandishi mbovu!
 
Back
Top Bottom