Ulishawahi kula tunda kimasihara?
hahaha huyo hakuwa chizi kumbe
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa
 
Kuna yule jamaa alisimulia story ya HAMIDA yule anastahili tuzo la uzi wetu pendwa . Sijui alipotelea wap
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story ya HAMIDA nmependa mchizi analia yupo mbupu tupu anagalagala, jiran zake wakaja na kumuuliza kulikon, anajibu "hamida yaan kanipa utamu kidogo tyuuh kaloweka mti wangu kisiman, nkamuambia hebu tutoe tupumzke sasa nikalala mazima naamka sumuoni, yoyoyo weee hamida wangu rudi basi" majirani walicheka hadi kuzimia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana khaaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alfu ile story ya Hamida sikuwai kuimalizia mana mshikaji alisimulia nusu tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story ya HAMIDA nmependa mchizi analia yupo mbupu tupu anagalagala, jiran zake wakaja na kumuuliza kulikon, anajibu "hamida yaan kanipa utamu kidogo tyuuh kaloweka mti wangu kisiman, nkamuambia hebu tutoe tupumzke sasa nikalala mazima naamka sumuoni, yoyoyo weee hamida wangu rudi basi" majirani walicheka hadi kuzimia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana khaaaaaah
 
Ana balaa huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chizi alipoliwa akapoteaa jumlaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaaan hapana kwa kweliiiiih, wee hapo ndo ukaleta kizaa zaa humu ndani, na huu uzi wako pendwa. Uwiiiiiiiiih
 
Umu kunamabahali kunamwingine alidai et

Alikula mzigo juu ya kaburi bado bichi ndio wamemaliza kuzika.
et anakula mzigo uku anasoma mwaka na jina lamarehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepaliwa wallah lol
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaaan hapana kwa kweliiiiih, wee hapo ndo ukaleta kizaa zaa humu ndani, na huu uzi wako pendwa. Uwiiiiiiiiih
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwana nafanya nae kazi anasema huu uzi kiboko afu ubaya hajui alieanzisha uzi ndo yupo naee. [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] kila siku anausomaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu naheshimiana nae sana nasoma nae, sasa siku hyo anatoa habari za huu uzi, afu akataja hii ID angu kuwa nazurura sana kila siku lazima niupitie, yaan nlimuangalia kucheka nikawa nataman nkaishia kufinyia moyoni. Ila wee umeimaliza JF kwa huu uzi.
 
jinsia yako tafadhali
 
Back
Top Bottom