Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kwani kushuka huko ndiyo kamba mkuu?Hiyo story jamaa alitupiga kamba kama unakumbuka alisema alishuka adi Chumvini [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kushuka huko ndiyo kamba mkuu?Hiyo story jamaa alitupiga kamba kama unakumbuka alisema alishuka adi Chumvini [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani ile story sjui why Mods waliifuta na kump ban muhusika, maan ilikuwa kivutio na tulizo la huu uzi pendwaaaah. [emoji2][emoji2][emoji2] JF idumu milele.Hiyo story jamaa alitupiga kamba kama unakumbuka alisema alishuka adi Chumvini [emoji23][emoji23][emoji23]
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na asubuh akarudi tenaah kwa jamaa kumrudishiaaaaah, daaaaah ile story we acha tyuuuh yaaan, ilkuwa n amaaaaizing sana.Ha ha ha..
Na akaondoka amevaa shati lake..
Hiyo story jamaa alitupiga kamba kama unakumbuka alisema alishuka adi Chumvini [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna yule jamaa alisimulia story ya HAMIDA yule anastahili tuzo la uzi wetu pendwa . Sijui alipotelea wapYaaani ile story sjui why Mods waliifuta na kump ban muhusika, maan ilikuwa kivutio na tulizo la huu uzi pendwaaaah. [emoji2][emoji2][emoji2] JF idumu milele.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba alitisha sana popote alipo Salamu zimfikie wote tuseme AMEN.[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na asubuh akarudi tenaah kwa jamaa kumrudishiaaaaah, daaaaah ile story we acha tyuuuh yaaan, ilkuwa n amaaaaizing sana.
Kwa maelezo ya jamaa yule mdada n kichaa na kadri ya muonekano wake kwa jamii, ila km mdadisi unaweza kujua undani kuwa hakuwa kichaa ila Ali act vile kwa lengo maalumu, ilikuwa story kabambe hyoooh na ni tamuuuh, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hahaha huyo hakuwa chizi kumbe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story ya HAMIDA nmependa mchizi analia yupo mbupu tupu anagalagala, jiran zake wakaja na kumuuliza kulikon, anajibu "hamida yaan kanipa utamu kidogo tyuuh kaloweka mti wangu kisiman, nkamuambia hebu tutoe tupumzke sasa nikalala mazima naamka sumuoni, yoyoyo weee hamida wangu rudi basi" majirani walicheka hadi kuzimia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana khaaaaaahKuna yule jamaa alisimulia story ya HAMIDA yule anastahili tuzo la uzi wetu pendwa . Sijui alipotelea wap
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wee acha tyuuuuuh[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba alitisha sana popote alipo Salamu zimfikie wote tuseme AMEN.[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story ya HAMIDA nmependa mchizi analia yupo mbupu tupu anagalagala, jiran zake wakaja na kumuuliza kulikon, anajibu "hamida yaan kanipa utamu kidogo tyuuh kaloweka mti wangu kisiman, nkamuambia hebu tutoe tupumzke sasa nikalala mazima naamka sumuoni, yoyoyo weee hamida wangu rudi basi" majirani walicheka hadi kuzimia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana khaaaaaah
Umu kunamabahali kunamwingine alidai et[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wee acha tyuuuuuh
Yule Member alikuwa anaitwa juma p maharage.
Wanakomaa kula kimasihara na wao wanaliwaKuna watu humu mademu zao wanaliwa tu kimasihara na wenyewe wamekomaa tu kusoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Huhuhuhuh ila ilikuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] aseeeeeeeh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alfu ile story ya Hamida sikuwai kuimalizia mana mshikaji alisimulia nusu tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaaan hapana kwa kweliiiiih, wee hapo ndo ukaleta kizaa zaa humu ndani, na huu uzi wako pendwa. UwiiiiiiiiihAna balaa huyoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chizi alipoliwa akapoteaa jumlaaa
Khaaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepaliwa wallah lolUmu kunamabahali kunamwingine alidai et
Alikula mzigo juu ya kaburi bado bichi ndio wamemaliza kuzika.
et anakula mzigo uku anasoma mwaka na jina lamarehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwana nafanya nae kazi anasema huu uzi kiboko afu ubaya hajui alieanzisha uzi ndo yupo naee. [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] kila siku anausomaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaaan hapana kwa kweliiiiih, wee hapo ndo ukaleta kizaa zaa humu ndani, na huu uzi wako pendwa. Uwiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu naheshimiana nae sana nasoma nae, sasa siku hyo anatoa habari za huu uzi, afu akataja hii ID angu kuwa nazurura sana kila siku lazima niupitie, yaan nlimuangalia kucheka nikawa nataman nkaishia kufinyia moyoni. Ila wee umeimaliza JF kwa huu uzi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwana nafanya nae kazi anasema huu uzi kiboko afu ubaya hajui alieanzisha uzi ndo yupo naee. [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] kila siku anausomaa
jinsia yako tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu naheshimiana nae sana nasoma nae, sasa siku hyo anatoa habari za huu uzi, afu akataja hii ID angu kuwa nazurura sana kila siku lazima niupitie, yaan nlimuangalia kucheka nikawa nataman nkaishia kufinyia moyoni. Ila wee umeimaliza JF kwa huu uzi.