sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Khaaa ila juma p mahagwe sijui yupo wapiiiii....
We miss him. It seem anavisa vingi.
Kuna mwamba alikula sister. Yule nae anaheshima yake
We miss him. It seem anavisa vingi.
Kuna mwamba alikula sister. Yule nae anaheshima yake
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa