Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Khaaa ila juma p mahagwe sijui yupo wapiiiii....

We miss him. It seem anavisa vingi.

Kuna mwamba alikula sister. Yule nae anaheshima yake
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa
 
Kuna yule jamaa alisimulia story ya HAMIDA yule anastahili tuzo la uzi wetu pendwa . Sijui alipotelea wap
Yule ni dingi flan hv alikula kimasikhara miaka yasabini huko chaajabu anakumbuka hadi leo bint alikuwa amevaaa nini. Noma noma.

Kuna yule jamaa rubani alikula mashombe shombe pale shinyanga... na kule ughaibuni m cuba na muixpaniola
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] story ya HAMIDA nmependa mchizi analia yupo mbupu tupu anagalagala, jiran zake wakaja na kumuuliza kulikon, anajibu "hamida yaan kanipa utamu kidogo tyuuh kaloweka mti wangu kisiman, nkamuambia hebu tutoe tupumzke sasa nikalala mazima naamka sumuoni, yoyoyo weee hamida wangu rudi basi" majirani walicheka hadi kuzimia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF bhana khaaaaaah
Nimecheka atari....

Umenikumbusha yule jamaa amkula dem wa udsm ati anavichuchu kama tusikio twa mbwa. Ila watu...
 
Back
Top Bottom