Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi Mkuu πŸ˜‚
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
 
Tatepa
JamiiForums-1536702421_320x239.jpg
 
Back
Top Bottom