G5crank
Member
- Nov 26, 2011
- 77
- 99
Vituko kama vipi mzazi?
Daah angalau bana nikajua 50+ ukoo. Ila ioo story bana vituko ni vingi umo ndani aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah angalau bana nikajua 50+ ukoo. Ila ioo story bana vituko ni vingi umo ndani aisee
AiseeeLazima utakua na sura ngumu Kama chura wa kihansi
Hapa tunataka story za kuliwa kimasihara na sio kujigamba kwamba huwezi kuliwa....kama vipi kaanzishe uzi wako.Aah,umekwama mkuu nshajiwekea msimamo wa kutoliwa ikiwa sijapanga,au nikuhadithie story za kushindwa kuliwa kimasihara,msimamo mkuu nadhani kama nsingekuwa makini nadhani mimi ndo ngekuwa na rekodi ya kuliwa sana
Mkuu haiwezekani ukawa umetimia usiliwe kimasihara....maana ukiguswa kubaya. Unajikuta unahama kutoka kwenye logical thinking Hadi kwenye emotional thinking...hapo Yani kichwa Cha juu kina stop...halafu antena ya chini ndo inaanza kufikiri namna ya kujiridhisha........lakini usijione mwamba kujifanya huhisi chochote.....maana ukiviziwa siku tatu kabla ya bleed wewe ukataitishwa sehemu nzuri...unalika Safi tuAah,umekwama mkuu nshajiwekea msimamo wa kutoliwa ikiwa sijapanga,au nikuhadithie story za kushindwa kuliwa kimasihara,msimamo mkuu nadhani kama nsingekuwa makini nadhani mimi ndo ngekuwa na rekodi ya kuliwa sana
Kwa muarabu 😯😆😆😆hicho kilio kilimfanya akafukuzwa kwa muarabu pale tegeta namanga, maana majirani wanajua mtu kavamiwa wakija wanamkuta anakoroma [emoji23][emoji23][emoji23] huku mwamba ana browse mtandaoni
Hii 2020 nmejipanga nkafungua kaduka kangu ka viatu vya wanaume. Katika kutafuta sources za kupata mzigo kuna dem wangu wa kitambo sana akaniunga na rafiki yake yupo kariakoo ndani ndani. Akanionya kabisa kuwa rafiki yake anapenda hela sana so kama namtaka nijipange. Kweli nkamtafuta huyo rafiki yake nkaenda kuonana nae na kazi tumefanya vizuri sana na bado nachukua mzigo kwake.
Manzi ni mzuri sana ofcourse, kapanda hewani, tako sio kubwa sana lakini standard na rangi flani natural. Lakini kwasababu nilikua nishaonywa nkakausha tu, kipindi chote sijawahi kugusia wala kuongelea mambo ya mapenzi.
Kuna siku mwezi october nliona amepost picha yupo na wenzie wawili, mmoja mzuri ndio lakini age go sana, mwingine mdogo mdogo. Huyu mdogo mdogo ni mfupi ila ana utako huo ni balaa.
Nkacomment kwenye hyo picha kuwa huyo mfupi mi nmempenda. Akanijibu fasta kaniambia yule ni mdogo wake wa shule alikua karaikoo kumtembelea ndo wakapiga zile picha, akauliza kama nipo serious nimemuelewa dogo. Ofcourse nkajibu nipo serious sana, akaniambia nisubiri. Baada ya kama dakika 10 kanitumia namba na jina (M) na maelezo kuwa nimtafute ameshamaliza kila kitu.
Mjuba nkaisave namba ya M af nka slide inbox. Kaniuliza we nani. Nkajieleza kwa kirefu anijue na ajue nmepata wapi contact zake. Basi akacheka sana, anaumuita yule mwenzie chizi, mi nkakazia kua nmemuelewa sana. Tukatumiana mapicha kama yote siku ikaisha.
Tukaendelea kuchat chat kesho yake, nkaomba aje mjini tuonane, yeye hana ishu bado yupo home tu, jioni natoka mishe mishe nkaonana nae town. Nkampeleka KFC pale kafurahi kinoma. Wakati tunaagana ile tumeoka KFC aende kwao nkamuomba tuonane kesho yake asubuhi saa 4. Akauliza kuhusu kazi vipi, nkamuambia ntaomba ruhusa. Kasema poa.
Kweli mtoto kaja kiulaini kafika mida ya saa 6 mchana. Ule ufupi ni noma, lakini lile tako linafukia kasoro zote. Ile kujifanya romantic nmemkumbatia kama dakika 2 nzima namsifia tu. Nmepewa tunda bila kutumia nguvu nyingi, anajituma hatari akijua amepata bwana. Lile tako yani daah.
Anyway bado ananiletea mara moja moja. Tatizo vizinga, vizinga jamani vizinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iv Suma JKT wanafanya kazi gani inabid wampe riki boy ulinzi yeye pamoja na familia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww umeunganishwa Kwa DangaHii 2020 nmejipanga nkafungua kaduka kangu ka viatu vya wanaume. Katika kutafuta sources za kupata mzigo kuna dem wangu wa kitambo sana akaniunga na rafiki yake yupo kariakoo ndani ndani. Akanionya kabisa kuwa rafiki yake anapenda hela sana so kama namtaka nijipange. Kweli nkamtafuta huyo rafiki yake nkaenda kuonana nae na kazi tumefanya vizuri sana na bado nachukua mzigo kwake.
Manzi ni mzuri sana ofcourse, kapanda hewani, tako sio kubwa sana lakini standard na rangi flani natural. Lakini kwasababu nilikua nishaonywa nkakausha tu, kipindi chote sijawahi kugusia wala kuongelea mambo ya mapenzi.
Kuna siku mwezi october nliona amepost picha yupo na wenzie wawili, mmoja mzuri ndio lakini age go sana, mwingine mdogo mdogo. Huyu mdogo mdogo ni mfupi ila ana utako huo ni balaa.
Nkacomment kwenye hyo picha kuwa huyo mfupi mi nmempenda. Akanijibu fasta kaniambia yule ni mdogo wake wa shule alikua karaikoo kumtembelea ndo wakapiga zile picha, akauliza kama nipo serious nimemuelewa dogo. Ofcourse nkajibu nipo serious sana, akaniambia nisubiri. Baada ya kama dakika 10 kanitumia namba na jina (M) na maelezo kuwa nimtafute ameshamaliza kila kitu.
Mjuba nkaisave namba ya M af nka slide inbox. Kaniuliza we nani. Nkajieleza kwa kirefu anijue na ajue nmepata wapi contact zake. Basi akacheka sana, anaumuita yule mwenzie chizi, mi nkakazia kua nmemuelewa sana. Tukatumiana mapicha kama yote siku ikaisha.
Tukaendelea kuchat chat kesho yake, nkaomba aje mjini tuonane, yeye hana ishu bado yupo home tu, jioni natoka mishe mishe nkaonana nae town. Nkampeleka KFC pale kafurahi kinoma. Wakati tunaagana ile tumeoka KFC aende kwao nkamuomba tuonane kesho yake asubuhi saa 4. Akauliza kuhusu kazi vipi, nkamuambia ntaomba ruhusa. Kasema poa.
Kweli mtoto kaja kiulaini kafika mida ya saa 6 mchana. Ule ufupi ni noma, lakini lile tako linafukia kasoro zote. Ile kujifanya romantic nmemkumbatia kama dakika 2 nzima namsifia tu. Nmepewa tunda bila kutumia nguvu nyingi, anajituma hatari akijua amepata bwana. Lile tako yani daah.
Anyway bado ananiletea mara moja moja. Tatizo vizinga, vizinga jamani vizinga.
Ha ha hapana, alikuwa anakaa chini, unapajua aisee usijekwenda kuulizia tuu [emoji23][emoji23]Kwa muarabu [emoji54][emoji38][emoji38][emoji38]
I bet alikuwa anakaa ghorofani pale [emoji57]
Kabsa aiseeeeeeUZI WA RICK BOY
UMEISHINDA NGOMA YA ......NANDY FT KOFFI OLOMIDE ......
KWA ....VIEWERS [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ....labda ndo ushapewa .... KITENGO[emoji16][emoji23]Siku hizi nikipost kitu naona post inaandikwa moderate sasa nini sijui maana yake..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kabsa aiseeeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sidhani mkuu...!!Mkuu ....labda ndo ushapewa .... KITENGO[emoji16][emoji23]
Mkuu ....labda ndo ushapewa .... KITENGO[emoji16][emoji23]