Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Aah,umekwama mkuu nshajiwekea msimamo wa kutoliwa ikiwa sijapanga,au nikuhadithie story za kushindwa kuliwa kimasihara,msimamo mkuu nadhani kama nsingekuwa makini nadhani mimi ndo ngekuwa na rekodi ya kuliwa sana
Hapa tunataka story za kuliwa kimasihara na sio kujigamba kwamba huwezi kuliwa....kama vipi kaanzishe uzi wako.
 
Aah,umekwama mkuu nshajiwekea msimamo wa kutoliwa ikiwa sijapanga,au nikuhadithie story za kushindwa kuliwa kimasihara,msimamo mkuu nadhani kama nsingekuwa makini nadhani mimi ndo ngekuwa na rekodi ya kuliwa sana
Mkuu haiwezekani ukawa umetimia usiliwe kimasihara....maana ukiguswa kubaya. Unajikuta unahama kutoka kwenye logical thinking Hadi kwenye emotional thinking...hapo Yani kichwa Cha juu kina stop...halafu antena ya chini ndo inaanza kufikiri namna ya kujiridhisha........lakini usijione mwamba kujifanya huhisi chochote.....maana ukiviziwa siku tatu kabla ya bleed wewe ukataitishwa sehemu nzuri...unalika Safi tu
 
Hii 2020 nmejipanga nkafungua kaduka kangu ka viatu vya wanaume. Katika kutafuta sources za kupata mzigo kuna dem wangu wa kitambo sana akaniunga na rafiki yake yupo kariakoo ndani ndani.

Akanionya kabisa kuwa rafiki yake anapenda hela sana so kama namtaka nijipange. Kweli nkamtafuta huyo rafiki yake nkaenda kuonana nae na kazi tumefanya vizuri sana na bado nachukua mzigo kwake.

Manzi ni mzuri sana ofcourse, kapanda hewani, tako sio kubwa sana lakini standard na rangi flani natural. Lakini kwasababu nilikua nishaonywa nkakausha tu, kipindi chote sijawahi kugusia wala kuongelea mambo ya mapenzi.

Kuna siku mwezi october nliona amepost picha yupo na wenzie wawili, mmoja mzuri ndio lakini age go sana, mwingine mdogo mdogo. Huyu mdogo mdogo ni mfupi ila ana utako huo ni balaa.

Nkacomment kwenye hyo picha kuwa huyo mfupi mi nmempenda. Akanijibu fasta kaniambia yule ni mdogo wake wa shule alikua karaikoo kumtembelea ndo wakapiga zile picha, akauliza kama nipo serious nimemuelewa dogo. Ofcourse nkajibu nipo serious sana, akaniambia nisubiri. Baada ya kama dakika 10 kanitumia namba na jina (M) na maelezo kuwa nimtafute ameshamaliza kila kitu.

Mjuba nkaisave namba ya M af nka slide inbox. Kaniuliza we nani. Nkajieleza kwa kirefu anijue na ajue nmepata wapi contact zake. Basi akacheka sana, anaumuita yule mwenzie chizi, mi nkakazia kua nmemuelewa sana. Tukatumiana mapicha kama yote siku ikaisha.

Tukaendelea kuchat chat kesho yake, nkaomba aje mjini tuonane, yeye hana ishu bado yupo home tu, jioni natoka mishe mishe nkaonana nae town. Nkampeleka KFC pale kafurahi kinoma. Wakati tunaagana ile tumeoka KFC aende kwao nkamuomba tuonane kesho yake asubuhi saa 4. Akauliza kuhusu kazi vipi, nkamuambia ntaomba ruhusa. Kasema poa.

Kweli mtoto kaja kiulaini kafika mida ya saa 6 mchana. Ule ufupi ni noma, lakini lile tako linafukia kasoro zote. Ile kujifanya romantic nmemkumbatia kama dakika 2 nzima namsifia tu. Nmepewa tunda bila kutumia nguvu nyingi, anajituma hatari akijua amepata bwana. Lile tako yani daah.
Anyway bado ananiletea mara moja moja. Tatizo vizinga, vizinga jamani vizinga.
 
Hii 2020 nmejipanga nkafungua kaduka kangu ka viatu vya wanaume. Katika kutafuta sources za kupata mzigo kuna dem wangu wa kitambo sana akaniunga na rafiki yake yupo kariakoo ndani ndani. Akanionya kabisa kuwa rafiki yake anapenda hela sana so kama namtaka nijipange. Kweli nkamtafuta huyo rafiki yake nkaenda kuonana nae na kazi tumefanya vizuri sana na bado nachukua mzigo kwake.

Unampeleka KFC afu unalalamika vizinga?
 
Ww umeunganishwa Kwa Danga
 
Mwaka 2015 nimeenda kwenye ATM pale goigi shamo,sasa naelekea pale kuna mdada anatoka ana kama 38 au 40 hv, akaniambia mashine haifanyi kazi..dah tukabaki pale tunajadiliana mi wakati huo naangalia huo mzigo huko nyuma nachanganyikiwa nikamwambia ngoja nijaribu pale rainbow kwenye kile kituo cha mafuta..hiyo mida ya saa moja jioni

yeye mwenyewe akanipa namba akaniambia ukikuta iko ok nipigie nije.. basi mm huyoo nikawasha gari nikasepa nikafika rainbow hola, mlinzi akaniambia subiri ni network tu saa tatu huwa inarudi..basi nageuka niondoke huyu hapa na gari kumbe alinifuata nikampa maelekezo...

nikamwambia twende tukae hapo juu ikirudi saa tatu turudi haaoo mpaka top garage pale tukaanza kupiga maji na yeye Nakula kilaji...mm mfukoni nina 30 nikamnunulia umeme wa 5000 akatuma nyumbani, story kibao akaniambia mume alikufa kitambo sikujali sana mi naangalia ile chura tu....baadae nikamchomekea tu bana sie watu wazima kwann tusimalize leo wala hakubisha nikarudi kwenye ATM network imerudi

haoo Mbezi garden..aisee yule dada ni mtam sana yaani mambo aliyoyafanya sku ile nikampa 50....

asubuhi lijamaa limoja likapiga mkwara mzito..
sitamtafuta hadi leo..!
 
huu uzi ulinivunjia mahusiano yangu, sitakuja kusahau, nilitoa ushuhuda mwaka mmoja uliopita, nikasimulia visa vyangu vinne nilivokula tunda kimasihara.

siku ya siku kulikua na ubatizo kwa jirani, baada ya sherehe za ubatizo za nyumban kumalizika, yule jiran akaomba nimsindikize kuwapeleka nduguze waliokuja ubatizoni, nikaona sio kesi, nikasepa nae mida kama ya saa sita usiku, nikaacha simu kwa huyo girlfriend wangu niliekua nimepanga kumuoa,
bila wasiwasi nikajua tutawah kurudi lakn jiran alinipitisha maeneo mengine mengi mengi na kurudi home mida ya sa nane,

kumbe huku home wife anapekua sim yangu, alipita kilaaa kona ya sim, alikuta mauchafu yangu yotee kwenye sim, ikiwa shuhuda za kula kimasihara, chatting zangu chafu za wasap na girls wengine, emails zangu na makorokoro mengine mengi sanaaa.

nilivorudi usiku ule hakusema kitu ila kesho yake kesi ilianza, na nilishindwa kesi mana sikua na mahala pakuchomoka,
baada ya wiki mbili nlitakiwa kwenda course mahali flan ambayo ingeniweka mbali nae na yeye ikampasa kwenda mkoani kwao, baada ya kufika kwao na mm kianza kujiandaa na kwenda course, ndipo akanipa taarifa rasmi kua hawezi kuendelea na mm tena.

sikumlaum, maana ni mara nyingi kanikuta na madudu kibao lakn amekua binti wa kusamehe sana.

ile ya mwisho ilikua funga kazi, akaridhia kusepa, aliniuma, ananiuma na ataniuma kwa sababu alikua mtu sahihi kwangu japo mm sikua mtu sahihi kwake.

kwa wenzangu wote tuliopi kwenye mahusiano, jali mahusiano yako, mjali mwenzio.

huu uzi nausoma sanaaaa lakn ulinipotezea njiwa wangu mzuri sana.

nakumis "E" wangu, stay good popote ulipo.
soon nitarejea japo nije hata nikusalimie tu.
 
Back
Top Bottom