Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
pumbavuuuuVisa vya kula kimasihara ni vingi mnoooo.
Hila ngoja nianze na hiki kimoja. Nina aunty yangu mmoja (ni mama yangu wa ubatizo) kwa kweli katika watu wanaonipenda ukitoa wazazi wangu na ndugu zangu wa damu. Ni huyu aunty yangu. Ananifanya niishi kama mtoto wa tajiri hapa mjini. Yeye ana watoto wawili tu na wote ni watu wazima na wapo nje na familia zao. So mimi huwa ananichukulia kama mwanae wa kumzaa. Huyu aunty anaishi maaneo flani mikocheni na anakaa kwenye apartment alone anamaisha flani ya kizungu. Sema yeye ni mlokole muda mwingi huwa najifanya sipendi anasa. Ninaweza kuandika mengi kuhusu yeye all I can say Mungu amtunze. Ila Shida ilianza pale aunty aliponinunulia Gari hii siku ndio milango ya kula kimasihara watoto wakali ilipofungaka.
Mimi nasoma chuo flani hapo mjini. Mara nyingi huwa nakaa kwa aunty japo nina room hostel na yeye ni mtu wa kusafiri na mostly huwa anaenda kwa watoto wake na biashara zake nyingine so sio mtu wa kuwa inchini muda mwingi thanks to that nimepata opportunity ya kwenda inchi kadhaa.
Nakumbuka ilikuwa jumamosi nilikuwa sina hili wala lile nimekaa tu chuo najisomea mara nikaona muamala huo 1,000,000tshs kutoka kwa aunty sikushtuka sana maana kuna hela nilimuomba ya pc kuwa nimeibiwa ila ukweli sikuwa nimeibiwa. (Alikujaga kuuliza PC baadaye kuna uongo nilimwambia ikawa hiyo). Sasa baada ya huo muamala akanipigia simu akaniambia anasafiri niende nikakae home kwa kwake mpaka atakaporudi. (Alikaa huko for 2weeks)
Siku hiyo nikamtafuta binamu yangu flani yupo TPA ni agemate sema yeye alimaliza form 4 akaenda chuo akapata diploma akaingia TPA nikamwambia mida ya saa nne tukutane kwa aunty halafu tutoke. Basi kweli saa tatu hivi akaja kwa aunty. Siku aunty akiwa hayupo huwa nachukua ndinga yake hii kali inaheshima mjini. Kwanza tulienda Tips. Ile tumeingia tu nikawaona wadada watatu aisee ni wakali sana. Ni kwambia yule binamu twende palepale.
Tukaenda pale walipo wala hatukuwasalimia kuna mmoja alitaka kusema kitu ila akaacha. Nafikiri alikataka kusema kuna watu wanakuja.
Mhudumu alipofika tuliagiza hennesy.Si unajua zile mbwembwe wanazoleta hennesy wale wahudumu.
Kitu nilichonotice wale walikuwa watoto wa kishua kwa sababu tulianza kupiga story mmoja alikuwa amemaliza form 6, wengine wawili wote walikuwa chuo. Tuliendelea kunywa na kupiga wale wa chuo walikuwa wametuelewa kichizi. Taniana kwa sana kama ni washikaji tuliojuana long. Hapo muda ulishaenda kama saa sita hivi. Binamu yangu akasema guys vipi si tubadilishe kiwanja tukakubaliana. Kumbe walikuwa wamekuja na gari yao. Nikasuggest twende na moja ambayo ni yetu. nikamshawishi akaipaki pale kwenye hospitali ya kairuki. Ni karibu. Aisee kwanza walivyoona ile ndiga ya aunty. Mmoja wao akatania ya Baba hii tukacheka tu. tukaenda pale kairuki nikaongea na wale walinzi pale nyuma ya hospitali kuna parking za wafanyazi wakakubali kwa kidogo kitu.
Hao tunaruka samakisamaki aisee siku ile vibe lilikuwa kama lote binamu kamatia mmoja mimi nimekamatia mwingine full shangwe yule dogo wa form 6 alikuwa busy na simu hata kunywa alikuwa hanywi sana. Tulikaa kwenye kona flani huku mwisho watu wanapoingilia kuna kagiza flani amaizing wadau wa hiyo sehemu wanaijua. Basi mimi na Vero(anaitwa Vero) ni full kucheza na kula mate. Ilifikia hatua tulikuwa hatuchezi nilimpakata na kula mate. Kuangalia hivi binamu na Brenda hawaonekani. Kumtext akasema yupo smoki zone nikamwambia vero kuwa wapo smoking zone. Tulibond na vee kama longtime couple kiss kwa sana.
Nikamchombeza Vero muda ulishaenda si twende tu home kwangu. Huku baada nachat na binamu kwa kuibia ampange Brenda. Hapo Vero akasema mpaka Brenda aje so nikamcheki binamu aje. So wakaje kumbe kule binamu alikuwa kashafaulu kumpanga Brenda. Basi tukawaambia hapo Vero nimeshampagawisha kinoma. Kusema ukweli She is one of a good kisser. Hatukuchuakua muda. Tukasepa
Sasa kwenye Gari binamu ndio yupo mbele na Brenda mimi nyuma na Vero na yule dogo wa form 6.. Sasa kosa lilikuwa mimi kukaa katikati kwenye Gari Vero alikuwa haelewi. Sasa na mimi nikataka kumtest dogo nipo na nakula mate na Vero kupima oil kama kote nikaamua mkono mmoja kupeleka kwenye kifua cha dogo aisee maziwa yalikuwa wamesimama kama yote na dogo akawa ametulia tu.
Tufafika kwa aunty actually sio mbali. Kufika tu sebleni kila moja na purukushani zake kusema nilisex na Vero palepale sebleni yule dogo ila nilinote dogo kaingia chumbani kuna vyumba vitatu kwa aunty cha kwake akiosafiri huwa anafunga so vilibaki viwili dogo aliingia kimoja kati ya viwili vilivyobaki. Aisee nilipiga sana mechi na Vero alikuwa poa na kazi anaiweza ( nikaamini sio wa kishua wote shughuli hawawezi huyu shughulia anaiweza ).
Kiukweli baadaye wote wanne tulitoka sebleni tukaenda kulala kwenye chumba kimoja.
Tulikuja kuamka saa tano uzuri kwa aunty mazaga kama yote. Mchana tukala. Tukawasha gari tukawapeleka kairuki wakachukua gari yao waenda kijitonyama ndipo Vero alipopanga sehemu flani pametulia nilikuja kupajua baadaye Vero akaja kuwa demu wangu.
Siku nitasimulia jinsi nilivyomla yule Dogo wa form 6 alipokuwa anakaa Vero. Mpaka Vero kuja kujua natoka na mdogo wake. Na kutaka kujiua alikuja kunipenda mnoo.
nimeishia katikati na uzi na unsubscribe na albadili nakusomea
unatuandikia utoto