me1
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 367
- 422
Huu uzi unakimbia sana sababu maisha siku hizi yamekuwa tofauti, na ugumu wa kupata penzi umepungua sana ukilinganishwa na zamani.Nikiri kwamba asilimia 70 ya wanawake nliolala nao tulifanya mapenzi kimasihara tu.
Nimekuwa msomaji tu kwenye hii thread lakin sasa nimepata ujasiri wa kudodosha kisa changu kimoja na huko baadae huenda nikawa namwaga vingine
Nna changamoto ya kutopendelea sana kutumia basi kwenye pirika zangu na sina uchumi imara kutumia ndege hivyo mara nyingi natumia kigari changu private ili kuongeza comfortability.
Kwakuwa nikiwa mwenyew huwa nakimbia sana hivyo mara nyingi napenda kupakia mtu walau mmoja lakin kwa masafa mafupi mafupi, mfano akipanda Dar bas awe anaishia Moro na ikiwa Moro bas awe anaishia Dom ili nikijiskia kupumzika nisimuwazie.
Bas nimetoka zangu kwenye harakati zang Bukoba, nimepiga gia had maeneo ya Igunga nikawa nataman nilale Singida, sababu ilikuwa imeanza kuwa giza nikapata wazo la kutafuta mtu wa kusafiri nae kama speed limiter.Kama kawaida nimeweka gari pembeni wakaja wale jamaa wapiga debe, abiria kibao na kwakuwa wamechelewa wanaweka dau zuri tu.Nikawa nahofia usalama kupakia watu wengi nsiowajua.
Basi akaja dada flan hivi kaletwa na wapiga debe wale akamfungulia mlango akakaa mbele, wakati huo mim nimeshuka nikawa kama nataka kumind lakin nlivomuona abiria ikabid nikanywea.Jamaa wakanikonyeza oya mchumba huyo akupigishe story.
Sababu kuna washkaji pia walikuwa wanatia huruma pale nikaona noma ikabid nimchukue jama a mmoja alisema yeye ni soja na anashukia Ikungi basi tukaanza safari
Mdogo mdogo yule dada akawa anaonekana haja-relax kabisa.Sababu namna ninavyoyapita magari ni ile unakaa kulia kabisa unapita gari kama nne kwa mkupuo then unarud, nikagundua nikamwambia ukitaka nisiende kasi sana inabid uniongeleshe akasema kama ni ivo ntakuongelesha njia nzima.
Bas story nyingine nying zikaanza lakin bibie alikuwa anashukia mji mkubwa katikati ya Dom na Singida (Code) akaniambia anakoenda ndio nyumbani, siwez kuelezea sana lakin ana sifa zote za wasingida.
Yule mjeshi nae simu nyingi sana had nikahisi anatupangia mpango atuteke, nikawa nampotezea na kuongeza mziki ili tukiongea mbele asitusikie.
Nikamwambie yule dada nilipanga kulala singida, akasema kwanin tusiende ulale kwetu (hapo tulishaanza kuzoeana so aliongea kama masihara tu) nikamwambia sasa haina tofauti nikilala Singida nalala mwenyew nikilala huko kwenu nalala mwenyew akanambia pale si utakuwa umepunguza safari, nikamwambia labda kama unanipeleka kwa baba yako au vinginevyo tukomae tukalale Dodoma urudi asubuhi akaruka hapana bas twende nyumbani.Muhuni nikaanza kuona dalili za kula kimasihara nikasema kimoyo moyo ngoja tumalizane na huyu mjeshi kwanza.