Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Broo kumla barmaid siyo masihara.
Unataka kusemaje kwamba kumla mke wa mtu ndio masihara huo ni uzamani mbona mabarmaids wanaolewa na pia kula kimasihara ni demu yoyote ulikuwa huna mihadi naye ya kumla wala hukujua kama hiyo siku zali litakuangukia, kumla mtu ndani ya masaa machache tu na mlikuwa hamjuani mwanzo hayo ndiyo masihara yenyewe. unakosea kumuita Vee wangu malaya she was a bar attendant lakini alikuwa hot kinoma mpya.

Na kwa taarifa Vee siyo barmaid tena sasa hivi mwaka ule ule aliacha kazi, yuko na mishe nyingine.
 
Nina visa vingi sana vya kimasihara lakini hiki ni kisa kilivunja record zangu za kibaharia 🤣🤣

Kutokana na safari za kwenda nchi jirani mara kadhaa nilifanikiwa kujenga urafiki na wana flani ambao tulikuwa nao kwenye kutafuta mkate wa kila siku, ila baadae baadhi yao watatu walipata mchongo mbele wakabwaga fasta DXB. Baada ya miezi michache bata lao lilikuwa heavy sana maana walipata kazi za kuwalipa vizuri tu
Siku ya siku wakanivuta kuwatembelea nikasema ewala sikuchelewa pale kuatembelea toua ya miezi 3
Kufika salama nikawa na mizunguko ya hapa na pale jioni masanga

Weekend moja tukala tour moja ndefu kidogo DXB-RAK kuangaza macho na kufurahia maajabu ya mji na wana sasa kumbe wenyewe ni watu wa nyama za mafungu Tinder imelipiwa lakini kule tulipoenda mitikasi ile kuipata mbinde sana wakati huo
Tukafanya check in resort moja kubwa tu kwahiyo baada ya kuzunguka sana na kutafuta mbususu tukajikatia tamaa tukaamua tulewe tu

Wakunywa alikunywa na wa shisha alivuta vyema. lakini mimi nilikuwa naangalia kama naweza baatisha mgegedo wa online zipo lakini mbali sanaaaa. Baadae watu walilala usingzi wa kilevi levi tu ila mim niliamka mapema kupimia pimia kwenye swimming pools na beach kubahatisha ni hotel kubwa ile nilizunguka sana bila mafanikio🤣🤣

Baada ya muda flani mida kama saa nne asubuhi nikaenda beach nikaoga mkosi nikarudi chobingo nimetulia nje kidogo ya room yangu nafinya smirnoff yangu na sprite kwa mbali kidogo naona couple flani ya muhindi mmoja na jamaa yake kama wananijadili kitu,baadae nikaona wanasogea kuja kwangu kutokana na kijua basi mvinyo ulishafika kichwani kiasi

Yule dada wa ki-bombay alikuja akaniomba nimpige picha kichwani najiuliza huyu alikuwa na jamaa hapa saa hii anataka mimi nimpige picha?
Ikawa siyo kesi nikamfotoa za kutosha lakini kadiri navyopiga picha anasogea sehemu isiyo na uwazi na mpiga picha naenda mule mule akanichanabu live bwana kama hutojali uje room yangu kuna besdei party nikamwitikia tu lakini skiwa interested maana alikuwa na jamaa yake
Baadae nikawa naenda ku upgrade room nikasikia mtu ananiita heeey excuse mee!! Where are u going? Please come!!
Nikaenda nikakaribishwa ndichi lao fresh story za hapa na pale akaniuliza swali ushenzi "I want to try something new,can we do it''? Huku akisisitiza kwamba nisiwe na wasi kila kitu kilishapangwa baina yalke na jamaa lake

Nikasema moyoni hapa nimekaa siku 3 sijafuma chance yoyote na huyu mbuzi wa shughuli kaja mwenyewe me ninakosa gani?😂😂😂Au nikimpa anachotaka nitapungukiwa nini?
Kichwa kidogo kilikuwa hakitulii mashetani yameshaanza kucheza nacho cricketr. Hasa nilipokuwa naangalia ziwa ambalo sijawahi kuona ukubwa ule hapa chini kwetu. Kila kitu walipanga na mwenzie wanavyojua wao me nikaanza makinikia yangu. Three good hours nipo ugenini kwenye uchakataji wa usio na jasho kabisaa. Wana walipiga simu sana lakini baadae walitulia maana walijua nimebahatisha

Yule bidada aliburudika na akataka uwe mpango endelevu nikakataa maana siyo mitikasi yangu, na kimasihara yangu ni hiyo wakuu
watu wanaweza wasiamini hii stori yako ila mmi naamini, ninayo pisi ya kihindi inanisihi kila siku nitafute jamaa tuipige threesome, inadai wakati inaishi kenya ilichakatwa threesome ya demu wawili na jamaa mmoja
 
Umesema rafiki yako aliipiga hiyo kazi, na hiyo kazi ikawaona mko pamoja na ikakubali kwenda na wewe.

Huyo siyo Malaya, ni Kahaba.
😂😂😂😂😂 amezidi uzuri bhna daah yaan uzuri wake unafuta kasoro zake, rafiki yangu dogo G tumeshibana tunakula sahani moja mkuu ondoa ukakasi.
 
Mhasham Rickboy huu uzi wako unageuka kuni na mafuta yetu mabaharia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku ya kiama yy ndio atabeba dhambi zetu mkuu wala usijali ww endelea kula kimasihara [emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
 
Uzuri mmoja yuda75 tusha wajua waongo wale wanaojimwambafy mara shangazi kampa milioni moja ya matumizi afu yeye shangazi kasafiri kaenda safari for two weeks na mazaga yapo ndani yakutosha tu na mil1 on top, shangazi huyo vipi aisee na gari yake kakuachia unatanua nayo fresh mjini.

Sasa wale madogo nawo walikuja na gari yao mkawapakilia kwa mlinzi na wao bila wasiwasi wamekubali kuliwa kiroho safi usiku kucha huku gari ipo kwa mlinzi hahaha afu wako watatu mmoja analiwa sitting room kama ndio ivo mjini watu wangeibiwa magari
Mkuu alikuwa na la kwake ambalo alinunuliwa na huyo huyo shangazi yake[emoji23][emoji23],hilo la shangazi yake siku hio aliiba shangazi hakuwepo
 
watu wanaweza wasiamini hii stori yako ila mmi naamini, ninayo pisi ya kihindi inanisihi kila siku nitafute jamaa tuipige threesome
inadai wakati inaishi kenya ilichakatwa threesome ya demu wawili na jamaa mmoja
Na ukichapa mmoja vizuri utakula mashoga zake ukimbie
Vivyo hivyo kwa wafilipino
 
Back
Top Bottom