rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
- Thread starter
- #23,941
Acha tu mkuuuIla kiukweli mwenyezi Mungu anatulinda, **** ppahala unapita halafu unakuta safe unainama unalia kwa uchungu unasema naacha uchangudoa kuanzia leo, ukipita mda umesahaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app