Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nimepumzika Hotel fulani Mkoa fulani ilivyofika mida ya saa 12 jioni ikaingia call kwenye simu yangu nilivyopokea Hello akagundua aliyempigia simu ni mwingine ambaye yeye alilenga kumpigia mwanamke (Hapa sijui kama ulikuwa ni ujanja wa kutafuta wanaume au la). Akaniuliza mwenye simu yupo wapi nikamwambia mie ndio mwenye simu. Akahamaki nikamwambia angalia jina kupitia M pesa basi kweli akafanya hivyo na kuniomba samahani kwa njia ya sms. Nikamuuliza upo wapi akataja mkoa bahati namimi ndio nipo Mkoa huo. Nikamuuliza upo mjini maana Mkoa ni mkubwa akasema ndio.
Tulichati sana mpaka nikamuomba tuonane sehemu fulani kiwanja kipya. Huyu nilivyopiga nae story ni staff wa NGO fulani inayo deal na mambo ya afya.
Basi tukakubaliana tukutane bar flani na mimi ndio nilitangulia kufika pale. Baada ya 1hr nae akawa amefika.
Dah dem flani sura ya baba sura mbaya, ziwa kama ziwa Victoria yaani kubwa, shapeless, hana mkia kabisa mzigo umehamia kifuani [emoji28][emoji28][emoji28], baasi alivyofika nikamkaribisha akaagiza Savanna. Baada kama dk 20 nikajifanya nimepokea simu kwamba kuna dharura natakiwa faster niende kumbe ndio napanga kukimbia [emoji28][emoji28][emoji28]. Nikamuita muhudumu nikalipa ile moja then mwanamke nikamuachia hela ya Savanna 3. Nikaondoka zangu ananiuliza vipi unakuja nikamwambia siwezi kwakuwa nina dharura kumbe nimekimbia ndio ikawa imetoka hiyo. Kwenye chats zetu niliweka mazingira ya kula mzigo ndio maana alitaka nikapige.
Hii mie ni mara ya pili kukimbia demu wa style kama hiyo.
Kwakweli mie demu mzuri naanza na reception, figure, usafi nk. Akiwa tofauti siwezi hata kidogo.
Hapana aisee. Nipo selective sana. Mie siwezi kupiga pale ambapo nafsi haijaridhika.Kwa minajili ya kuweka sawa CV yako, hupaswi kukimbia demu hata aweje!! Mradi kajileta piga mzigo mengine yatafuata!!
NB: Mademu wa hivyo wamejaaliwa uchi mtamu balaa!!
Suala la ndom ni muhimu sana. Sijawahi kufeli katika hilo.Uzi umenifundisha kuanza kua muumin condom,kuna jamaa alikua anaelezea kisa chake na dem ambae badae aligundua ameathirika,nimefanya u turn kwenye matumizivya ndom...
Ubarikiwe wejamaa
Design kama co maskhara hv🤔AT LEAST OFF YA SIKUKUU NI NDEFU KIDOGO,
So nilienda Iringa kumchek mwana, ilikuwa kipind cha mwezi WA 6 Kwa wanaoijua Iringa miezi hii ni Balaa Kwa Barid, sikukaa Sana nikaona hii baridi itaniua bure jion yake nikaenda kukata tiket kurud dar, Niko na Wana Kama 4 pamoja na Mimi 5 tunapanga twende tukamalizie wapi weekend, basi tukapanga twende kuna bar IPO nje kidogo na mjini na gari ya mwanetu mmoja.
FF>>> tumefika kwenye hiyo bar kuna manzi wawili mmoja yupo na umbo la maana mwingine yeye ni kawaida Ila wote wazuri, Mimi nikamuelewa Yule mwenye bonge la shepu kumbe Yule kamuelewa jamaa yetu mwingine, daaahh nikasema sio kesi wala nikaenda tumekaa Hadi mida ya sa5 wanataka wafunge tukawaambia twende kuna bar Iringa IPO wazi 24hrs tukaenda hapo, Hadi mida sina manzi hata moja na Kesho SA 12 nasafiri kurud dar na Yule manzi mwingine mwana nae kashamchukua.
Sasa ikafika SA 8 na nusu tumelewa kinoma maana ilikuwa ni mwendo WA tequila Tu, mi mwisho nikamuagiza muhudumu akaniletee jagermeister maana pale hawakuwa nayo, ikaletwa sasa Wana wanataka kuondoka mi nakaawambia nabaki Nia nipate manzi nikamkaze adi muda WA basi kuondoka ndio niamshe Yan hakuna kulala, manzi Yule mwengine ambae ana Shep Sana wamezinguana na mwana tayar so akabak namm, Wana wakasepa tukapiga glas Tatu akaniambia kalipie lodge tukaimalizie lodge, chap Mzee nikazama nae geto manzi stimu zimempanda adi ajielew, tunafika room Yani alienda washroom alivyorud ameshatoa nguo zote akaja akanivua namm alinyonya mashine Kama 10mns nakumbuka nilipiga Hadi SA 12 kamili, naangalia SAA nimebakiwa na nusu SA na hapo inabid niende Kwa sista kuchukua begi langu niamshe, hapo manzi aelew kitu atak niondoke kasimama mlangon, nikamwambia narud tutashinda wote Leo akaingia kingi nikaamsha nakumbuka nilienda kulikuta lile Basi ipogogo (kabla stendi aijahamishwa bado). Na ilikuwa Safari ya muhim kurudi ndio maana ilibid niondoke na nifike mapema dar pia.
Watu wana roho mbaya chief.Kumbe huu uzi umefunguliwa na wala wajumbe hamsemi, aisee wanangu mna siri sana.
Yeah, mibovu usoni ni mitamu yaani,kuna linesi limoja libayaaa, lilinihudumia usiku nikalikula, tamu yaani japo sura haiendani na utamu wakeKwa minajili ya kuweka sawa CV yako, hupaswi kukimbia demu hata aweje!! Mradi kajileta piga mzigo mengine yatafuata!!
NB: Mademu wa hivyo wamejaaliwa uchi mtamu balaa!!
Demu: mm huwasitumii kondomu mafuta yake yananiwasha...
Hii statement sio nzuri kwa afya
Ilikua mwaka jana kunamdada alinipigia simu anakuja kunisalimia maana hatukuwa tumeonana km mwaka mmoja hv wala sikuwa na mahusiano nae yoyote zaidi ya kupeana dili za hapa na pale basi nikamwambia karibu, jioni akafika gheto story mbl tatu hasa za maisha na mahusiano yake katikat nikachomekea masikhara akajaa Huku na Huku sina Mpira ikabd nimplease kuwa naenda shop nichukue zana hiyo ya kivita ndo akaanza kusema mm sizipendi km nihivo bora niondoke
Nikapiga hesabu za probability nikaona huyu life style yake inanitia mashaka afu why kondomu inakua zogo?
Nikamjibu tu kiume samahani sana kiukweli na mm kondomu sizipendi ila itanilazimu kuitumia kabla hatujacheck afya so km unaona kondomu nikikwazo mama, nenda mpk siku tutakayo pima wawili na kuchukua majibu pamoja
Akasema nayy kupima anaogopa sana nikamwambia kwahiyo tunafanyaje? Akakubali kondomu itumike sio kupima ( nikaona hapa kuna jambo) basi nikakubali kuitumia with due diligence game ikapigwa vzr kabisa
Kesho yake jioni kaja mapema akasema analala kabisa ( alielewa sana kipindi hasa jinsi nilivyotimia kumkanda mwili wake kwa shanga zake zakiunoni na kuzitumia kuzipitisha ktk kitumbua chake she resisted to be mad but went crazy
)![]()
Mwendo ukawa niuleule kumenye tu ndomu kila tukitaka kupunga maruhani yaliyopagawa
Akaanza zile za niambie sasa lengo lako ninin au unataka tu uweunanikaza kukidhi haja zako? Mm ni innocent sana huwasiwezi kumwambia mtu jambo la kumuumiza of which nilikua nimepanga kumla tu kila mtu aendelee na maisha yake ila kwakujua saikolojia yake alikua na expectation kubwa ya kuanza kuishi namm ukizingatia umri tyr umeanza kumkataa by then she was 32-33 years old
Nikamjibu km gentleman kuwa siwezi kuweka malengo ukiwa hatujui status zetu za kiafya zikoje siku utakayokuwa tyr kupima then ndio nitakupa malengo. Bado akawa mbishi kupima ananiletea pigo za mbn tunaandaana vzr sipati michubuko ngoma inapitia wapi?
Nikagundua wasiwasi wake mkuu nikupima so kondomu zikahalalishwa rasmi hakuwahi kusema anazichukia tena
Akahamia gheto kabisa muda huo ninamahusiano yangu ya muda mrf mchumba nilielipa mahari Yuko mkoa mwingine wanyumbani kila kitu kipo vzr inasubiriwa ndoa tu! Nikaona huyu demu ataniharibia ila kwakuwa kiasili mm nimpole sana sio mchumba wangu wala huyu aliejileta gheto alieshtukia km kunamwenzake nikaplay role vzr kabisa kwahuyu aliehamia gheto kwa kumpa condition kwamba tunayo miez miwl ya yeye kujitathmn kuhusu kupima ikiisha miez miwl hakubaliani kupima automatically tunaachana wala asije kunilauma.
Miezi miwl ikapita hajafikia maamuzi ( kipind chote hicho sijauza mechi) kuna siku nadhn alifanya makusudi stoke ya kondomu iliisha afu akapiga kmy km kawausiku namwambia chukua ndomu huko anasema zimeisha daaaah ilikua sita usiku maduka mtaa tunaoishi yanafugwa saa tatu aisee nikidata lkn kwa sauti ya upole kabisa nikamwambia we won't play tonight, nadhani hakuamn akajua natania amn usiamn tulilala kufika mid night akaniamsha akisema "yaani angalia nilivoloa najikojolea naww uko hapa hapa? Nikamjibu tu short yamebaki masaa machache ifike asbh nitafuata kondomu nitakutimizia hitaji lako nikageuka kumpa mgongo!
Ikawa asbh siku mpya ikaanza kwakuzini kabla ya kwenda kutafuta mkate jioni yake akasema hakuwahi kuona mtu mwenye misimamo mikali km unskilled...
Muda wampito niliompa kuhusu kupima ukafika ijapokuwa ratiba zangu ningumu ila ilipotimia miezi miwili tu nikamchukua kwenda kupima hospital x ya serikali kabisa nikiwa ninaitupa karata yangu ya mwisho jinsi ya kumwacha bila kuumiza hisia zake
Muuguzi akauliza swali nyeti sana km tunatumia Mpira na haipo siku tumesex peku peku jibu likawa ni condum as usual per game
MAJIBU SHE WAS HIV POSITIVE+
AND I WAS HIV NEGATIVE-!
Binafsi sikuwa surprised maana mm afya naichunga sana maana wazaz wangu walipofikia hawana ngoma mm kaka mkubwa nautoa wapi nahisi nitawafedhehesha sana wazazi na sitokua mfn mzr kwa madogo
Kwann nilimkomalia tupime? Kipind tumepotezana alijichanganya machimbo ya madini mkoani iringa na mm kwa uelewa wangu mdogo machimboni ni risk sana hasa kwa mtoto wakike ukizingatia mkoa wenyewe iringa
Alipewa ARVS siku ileile mm nikauluzwa km sijawahi pekupeku nikamjibu sijawahi peku pia nilikua nazingatia matumuzi sahihi ya Mpira so far nitapima tena muda mwingine!
Tukarudi gheto nikamchukua jukumu la kutomnyanyapaa ila nikamsistiza tu kwahali yake afikirie kuimarisha uchumi wake zaidi asinitegemee mm ikitokea sipo atayumba( mwenye akili ataelewa nikichokua nakimaanisha)
Basi swali la malengo nini likaishia hapo baadae ya miezi km miwili akajiongeza kuwa km alipata ugonjwa huo itakua machimbo ngj arudi tena akapambane na life huko kabla hajaenda nikamsistiza asifanye kuusambaza makusudi ikibidi atumie kondomu km tulivotumua kuliko baadae akapata maambukizi mapya akasepa na rundo la ARVS ZAKE huko chunya this time (mliokohuko mjihadhari)
Mipango yangu na mtarajiwa wangu wa nyumbani inaenda vzr panapo majaliwa nafunga ndoa SEPTEMBER ELEVEN of this year nikiwa nimeipata baraka Zote kutoka kwa huyu sweet poison iliyofeli kuniua akisema "ukipata mtu wakuoa we oa mm ngj nikapambane mbele
My take kula kimasihara kungeniponza maana hii ilikua mwaka jana kipindi visa vya kimasihara vimepamba moto jukwaani hapa pia hata mbinu za kumvua chupi niliitumia za hapa with added factors nilizonazo, sahz ningekua nakula DOZI KIMASIHARA
MY NOTE ukimwi upo unaua km magonjwa mengine ila unamateso aisee km hujawahi kunywa vile vidonge nshukuru mungu huyu mdada siku zakwanza alikua anahangaika kumeza mimavidonge makubwa hata mtu aliechumba chapili ukitikisa kopo la dawa anajua unakunywa
NB tusiwanyanyapae waathirika japo nirisk sana kuna muda nawaza kuwa nao wanamioyo yakupenda na matamanio ila kwakuwa jamii inawatenga ukimtongoza anakubali ila ataogopa kumwambia anakirusi mwilini.
upande waakili unaniambia huenda hata huyu demu alikua anajua hali yake ndo maana alikua hataki kupima?
Ila nikiwaza upande mwingine nasema je bila mm kutaka kula tunda KIMASIHARA tungefikia Huku kote?
All in all mshahara wa dhambi ni mauti mungu anijalie kuifikia ndoa yangu na kuiheshimu maana kila anaesimama mbele yangu nahisi nae anao!
Ikitokea nimechepuka of which mm ni mwanaume niliekamilika inatokea lakn nitachukua all preventive measures
TUNDA KIMASIHARA LINGENILA
Wasalaaam
Unskilled is now SKILLED
Yaani mm mwenyewe niko chunya huku ndio mishe zangu zipo na wiki iliyopita nimewala mademu kama wa tatu tofauti sema nilitumia ndomu na wiki hii na appointment mbili tofauti sijui itakuwajeWatu wa chunya tuna tabu kwel kwel Malaya wengi wanakimbilia huku tutapona kweli?
Matundasi, itumbi, saza na mkwajuni aiseee itabidi tuanze kusafirisha pisi kutoka DSM maana hela ipowatu wA makongorosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameeeeeeen,Nadhani kuna misconception hapo, kutoweka mbele ngono haimaanishi mapenzi ya kifilino au ni kutoa kafara hisia. Ni kwamba nilijifunza kujipenda mwenyewe kwanza na kutambua msingi wa furaha yangu uko wapi na hakuna mtu anaweza kucheza na mimi katika hilo, huwa sina huruma na mtoto wa mtu katika hilo. Hii imenifanya nipendwe sana kupitiza.
Kwa sasa siwezi kuteswa kihisia na mtu ambaye kabla ya kukutana naye nilikuwa na furaha kwa maana ya kuwa yeye si chanzo cha furaha yangu. Iliwahi kutokea mara moja kwa demu wangu wa kwanza kitu ni kawaida kwa kila anayeanza mahusiano.
Ustaarabu si udhaifu.
Alafu uu uzi niwa kula kimasihala ,Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
WengeMwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Acha tamaa utakuja kufanyiwa kitu kibaya hutasahau..hakuna mwanaume anatoa hela yake kizembe tu,there must be consideration..nothing goes for nothing!Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.
Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.
Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.
Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Kondomu situmiagi, na alivokua bado binti acha tu sijui malaika walitoka wapi kunisimamiada mungu pia alikua mwema mana pamoja na roho ya huruma uliokua unayo juu yake lakini ile k vant mkuu ingekuharibia kazi kabisa.huruma imekufanya ubaki salama ninauhakika usingetumia ndom