mrdream
Senior Member
- Mar 23, 2014
- 122
- 245
Ushapona au ndio tatizo limehamia kichwani.Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?
Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.