Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,514
Juzi kati nilisafiri kutoka huku mkoani nilipo kwenda Dar kuhudhuris sherehe ya kuagwa (send off party) ya mpwa wangu! Nilikuwa na begi ambalo halikutosha kukaa ndani ya basi hivyo ikabidi niliweke ndani ya buti! Safari ilikuwa shwari, isiyo na misukosuko njiani hadi tunatia nanga ktk kituo chao hapo Shekilango!Masihara yaendelee baada ya mechi.
Naomba kusema yafuatayo:-
1. Natoa shukrani kwenu nyie akina Baba mlio oa na kisha mmefungulia wake zenu biashara za huduma za fedha (Tigo Pesa, Halopesa, mpesa n.k) na wake zenu ndio wako kibandani kutuhudumia kwa kifupi mmetusaidia masihara kumasiharika.
2. Niwashukuru wenye hotel kuajiri wadada wadogo wadogo na kisha kuwapa uniform hasa suruali nyeusi za vitambaa zinazobana miili yao sawia, na mnawaruhusu kufanya delivery kwenye ma ofisi zetu.
Yan unachukua namba unauliza anafunga saa ngp kazi, anakuambia saa mbili usiku, ikifika saa mbili unamfuata kumpa kift kisha una mwambie kachoka na kasweat unamwambia unamtafutia sehemu aoge mara moja kupunguza jasho kisha umdrop nyumban kwake, anakubali unasaka room anavua nguo anaoga.
Visa vingi, ila wale wazee wa kusema chai ngoja niwasubirie wao walete visa vyao visivyo chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuteremka, nilipigwa na butwa na kupata hasira kali kukuta begi langu limeloweshwa na pombe! Ktk buti hilo kumbe walipakia katoni za pombe juu ya begi langu. Nadhani chupa zilivunjika njiani. Nguo zangu za kubadilisha jioni hiyo na za kuvaa kesho yake kwenye sherehe zote zililowa pombe na kutoa harufu ya pombe! Hakika nilikasirika mno! Wahudumu wa kampuni hii walikuwa waastarabu sana, waliniomba msamaha na kuahidi kunifidia kwa uharibifu huo.
Nilienda zangu hotelini huku nikiwa nimenuna haswa nikifikirikia nitatokaje usiku huo kwenda kwenye miadi niliyokuwa nayo! Baada ya kufika hotelini na kujiandikisha, muhudumu mmoja wa kike matata sana, alibeba begi langu na kunisindikiza chumbani. Baada ya kufika chumbani na kunionyesha kila kitu ndipo nilipomueleza masaibu yangu. Aliniitia mdada mwingine kwenye kitengo cha ufuaji (laundry) aje anisaidie. Huyu dada wa ufuaji ana vigezo vyote ya mwanamke, mzuri na mwenye umbo zuri. Nilimtamani! Alinihakikishia kuwa kabla ya yeye kutoka saa mbili usiku nguo ambazo nilikuwa nahitaji kuzivaa usiku huo zitakuwa tayari na ataniletea kabla ya kuondoka na zile za kuvaa kesho pamoja na begi zitakuwa tayari kesho! Nilifurahi sana nikatoa kwa pochi nykundu mbili nikampa kama bakshishi! Alifurahi mno!
Saa mbili kasoro dakika tano, wakati najiandaa kutazama taarifa ya habari kwa runinga, mlango wa chumba changu ukagongwa! Nikaenda fungua nikamkuta binti akiwa kabeba nguo zangu nikamkaribisha aingie ndani! Nikazipokea nguo zangu na kuzining'iniza kabatini kisha nikamrudia mdada aliyekuwa kasimama akisubiri kuniaga. Nilichokifanya nikamuendea nikampa mkono na kumvutia kwangu akaja mzima! Alileta upinzani kidogo lakini baada ya kumchezea na alilegea na nikajilia kimoja kisha akawahi nyumbania kwake. Asubuhi wakati anakuja kazini alipitia chumbani tukapata morning glory. Ni binti mzuri sana, single mother toka unyaturuni!