Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Oneni Huyu Mpenda Pesa!

Nilikuwa natoka zangu Mwenge naelekea Mbezi kupitia Goba! Mara kwenye siti ya pembeni akaja mrembo mmoja hivi. Akakaa then akanisalimia. Mambo? Poa! Afu wote tukanyamaza.

Afu mi nikazima simu. Saa tatu kufungua simu nilikutana na mitusi si ya nchi hii. Chain Fekelo, Money Fekelo!
Sahizi shetani wako alikua ulikuongoza vema mwanakummnna wewe
 
Hakuna ata mdada mmoja aliecomfess kufanya unexpected sex
Sasa ma bro mliomfanya mlifanya na nani[emoji28]
 
Sisi wa miaka ile tynakwama wapi? Vijana wa leo naona mna nyota ya kula tunda kimasihara.
 
Ina maana hta ww utaniongopea ili hali uki juu majibu yko yanaonesha una experience kubwa?
Kuoa ni malengo na kuna majukumu makubwa ya kuyatekeleza ndani yake. Kut0mbana ni kipengele tu kimoja ndani ya ndoa. Usipojitambua mapema mume na mke mtaishia kuchomana kwa petroli na ni muhimu ujana muwe mshaumaliza, mengineyo mnayamaliza kiutu uzima tu vinginevyo fainali uzeeni
 
Za Asubuhi..

Yule Manzi wa NBC ambaye niliwambia kua Juzi saa mbili usiku narudi home, nashuka kwa boda nakutana naye..akanipa namba

Baadae nikamchomekea wee mwisho akaingia king

Akanambia Kumayake ananipa Alamis ijayo sababu yupo Period.

Kumbe bwana Hedhi yenyewe alianza juma nne ,najana ndio alikua anamalizia malizia.

Sasa Usiku wa kuamkia leo, mida ya Saa Nne tukawa tunachati weeee, akaanza unajua damu zimekata leo, mara nn

Nikakomalia hapohapo, nakujaaa. Nakujaaa. Nakujaaa

Akasema unaweza ?? Usiku huuu ?? Huogopi???

Nikakomaa nakujaaaaa jiandaeee ubaki na Kanga tuuu
..ohoooo sijui nn, watoto, nikamwambiaaa Tandika chumba cha wagenii [emoji23][emoji23]

Mzeee baba nikachomoka usiku huohuo nimevaa zangu suruali Traki na Jacket nikavaa Kofia, na raba huyooooo nikasepa .

Nikafika mtaa wa kwao, nalikua nayeye keshakuja kufungua Geti huyoooo ndani

Msengee ana mapaja jamaan. Mweupeee, kajaaaa makalio, mapajaaa daahhh

Kwa ufupi, nilimpiga bao mbili tu ndefuuuu alafu dem alikua anamuda mrefu kabisaa maana papuchi ilikua km inataka kuziba[emoji23][emoji23]

NB.. Nilitumia kondomu wakulungwaa.View attachment 1865812View attachment 1865813View attachment 1865814
Dah! Sijui me nakwama wapi asee! Juzi kati kuna demu wa jamaa kaja home kufata madocument ya jamaa ake, nikapania na me Nile kimasihara, huezi Amin alikaa for 3h lakin hata gia y kumuingia nilishindwa nikabaki najitukana kimoyo moyo tu,
Hivi nyie wadau mnafanyaje au mnatumia mbinu gan wazee??
 
Kabla ya yote nataka ifahamike kuwa bandiko hili halina nia ya kukejeli wanawake tajwa hapo juu bali najaribu kuelezea uhalisia wa sehemu ya mapito yangu.
Fuatana nami[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Kama mkataba wa kazi yangu ulivyonitaka niwe tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya Tanzania na ndivyo ilivyotokea nikajikuta nipo bandarini kusubiria boti ya kuelekea zanzibar kufanya kazi huko kwa muda wa miezi sita. Ilikua ni mara yangu ya kwanza kwenda zanzibar na pia mara ya kwanza kutoka nje ya kituo kikuu cha kazi yangu hapa dar es salaam na kupangiwa kituo kingine tangu nipate mkataba wa miaka mitatu kwenye kampuni hii iliyokua na makao makuu yake ndani ya bandari ya dar es salaam. Sehemu zetu za kazi ambazo mtu angepaswa kwenda kama angehamishwa kutoka hapa makao makuu ni mtwara, tanga, unguja, pemba, mafia na bagamoyo.

Safari ilianza saa 11 jioni, nikiwa na begi langu nikaingia kwenye boti na kwenda kukaa kwenye daraja la tiketi yangu ambalo ni silver class. Sehemu niliyokaa kando yangu kulikua na msichana wa kati ya miaka 22+ ambapo yeye alitangulia kuingia kabla yangu na nilimkuta yuko bize na simu yake ya tochi, nikamsalimia na hatukua na maongezi tena kati yetu kwa muda huo. Baada ya safari kuanza na kila kitu kutulia nami nikaona nitoe simu yangu japo niperuzi. Simu yangu ilikua ni iphone 5s kwa wakati huo na ilikua siku nzuri haswa. Sasa bwana, baada ya kuitoa ile simu nikaona yule msichana amemakinika kidogo kuikazia macho, na baada ya muda akaanza kunisemesha na kuuliza ile ni simu gani, nilipomjibu akafungua mkoba wake akatoa simu kama ile ikiwa mpya kabisa akasema alitumiwa na ndugu yake kutoka canada na ametoka kuichukua lakini hawezi kuitumia na hata alipojaribu kuweka line hakuona majina. Basi nikamfanyia setting pale ikiwa ni pamoja na kumtengenezea apple id ili aweze kutumia na baada ya hapo tukawa kama watu tuliofahamiana kitambo, nikapata mpaka namba. Katika kufahamiana nikagundua kuwa yule msichana kwao mombasa lakini anaishi unguja, na akaniambia kama mipango itaenda sawa anatarajia kwenda kuishi canada miezi mitatu mpaka sita ijayo.

Baada ya kushuka pale bandarini (znz) kila mmoja (kati yetu) akashika njia yake huku tukipeana ahadi za kuwasiliana, lakini haikua hivyo kwani yule bint aliamua kunipotezea. Ni mara moja tu alipokea simu yangu baada ya kuachana pale bandarini tena ni pale nilipompigia ili kumuuliza kama amefika salama, baada hapo hakupokea tena simu wala kujibu sms. Kidume nilijaribu kwa njia zote kufanya ushawishi labda nitajibiwa lakini ikawa kinyume chake, nikakata tamaa lakini sikufuta namba. Nikapotezea kwa muda.

Baada ya wiki kama tatu hivi za kuwa busy weekend moja nikiwa mahali ninapoishi nimeshika simu yangu nikamkumbuka yule bint, nikasema wacha nijaribu leo nikatuma sms ya salamu, mara baada ya kutuma sms tu punde akanipigia. Ile kupokea bint ananiuliza mimi ni nani nikajisemea duh mpaka namba kafuta!, hata hivyo nikajitambulisha, ajabu bint akaanza kufurahi na kunilaumu kwa nini nilikua simtafuti nikashangaa!
Ktk kuendelea kuongea ndipo akaniambia mdogo wake amei restore ile simu yake (iphone) kwa bahati mbaya, na ameenda kwa fundi ameambiwa hawezi kuitumia mpaka aweke apple id iliyokuwepo awali lkn yeye anaikumbuka apple id pekee passwords amezisahau hivyo akataka kujua kama naweza kuzikumbuka, na kweli zilikua kichwani maana nilimuwekea passwords ninazotumia kwenye simu yangu.
Hata hivyo nikamwambia aje ninapoishi na hiyo simu kama anaweza, akaja.

Alivyokuja akanikuta napika sasa ili mimi nifanye kazi yake akaniambia jiko nimuachie yeye. Kazi kwangu haikua ngumu ila ikabidi nijicheleweshe ili nipikiwe kila kitu na pia nipate kuzoeana na yule bint. Akapika vikaiva na tukala pamoja, baada ya muda kdg ndipo nikampa simu yake ikiwa sawa. Yule bint aliiangalia simu mara moja tu na mara nikashtuka akiwa amenivaa mwilini huku akiwa amefurahi ajabu, akanikumbatia kwa nguvu huku napigwa mabusu hapo mzee sikulaza damu, japo nilipata usumbufu ule wa sitaki nataka lkn hatimae nilimla yule bint siku ile ile.
Rasmi sasa tukawa wapenzi baada ya lile game na ikafikia point mpaka nikawa naonewa wivu, ajabu ni kwamba hakuwahi kunionyesha kwao na hakutaka hata nipajue, sikujali. Baada ya miezi miwili ya uhusiano akaondoka kwenda mombasa na akasema anaenda kukamilisha taratibu za safari na alisafiri kweli. Kwa sasa yupo canada na hatuwasiliani baada ya kurudia zile tabia zake za kunata.

Baada ya mwezi kupita nikapata mwanamke mwingine, huyu kwao pemba ila alikua anafanya field pale bandarin unguja. Bint mweusi wa kipemba, mzur wa sura na asiekua na mambo mengi akameza ndoano yangu. Uhusiano ukaanza na ukashamiri, huyu nilimkuta bado bikra, nikampenda haswa huku nikijiwazia "huyu ndie mke".

Tulale kwanza....
 
Bado sijalala nasubir kukuche utam uendelee.
 
Jamaa wapo DAR wapo tayari kufia huko na sio kwao kanda za juu kusini.

Mzee wa kanisa hawezi kuwa lelemama

Haya maisha fanya yako dunia ina mambo meengi hatuwezi kuyamaliza.
 
Ya Mhudumu wa Mpesa.

Ilikuwa mwishoni mwa mwez juni hapa Dar Es salaam, kuna sehem nikapita nikaona bango likionesha kibanda frem kuna huduma za fedha hizi ambazo Mzee wa Chemba kaamua kulundika makato huko ili tujenge barabara za lami hadi Matombo shambani (hii ndoto ikitimia basi tutakuwa mfano).

Nikaelekea hapo kibandani kupata huduma, vap nakuta pisi ya hatari, haina papara yani ni zile pisi za kuridhika ridhika, anyway nikaomba kutoa elf 80 nikatoa akanipa nikaondoka.

Roho ikawa inapwita pwii pwii pwii kwamba masihara yatumike pale ikiwezekana, maana shule ya masihara ishatolewa vya kutosha humu, ila ndo kawaida ya wanafunzi wapo wanafaulu ufaulu zaidi ya mategemeo na wapo wanaofeli ilihali wote wamefundishwa somo moja na darasa moja na siku moja.

Anyway cha kwanza nikawaza kwenye masihara cha msingi kujiamini (self confidence), nikajisema pale kibandani ile pisi iko busy na wateja na muda mwingi watu hawaishi pale dirishani kwake. Nikasema leo nacheza ya kilazima kujitoa akili kama Morrison na pampers yake kiunoni kule Kigoma. (Hiyo inaitwa confidence).

Nikatoka zangu kazini nikafika pale nikapark distance kidogo nikaelekea lile eneo la kibanda, ile nafika kuna mshikaj anatuma hela ila dizaini kama anadelay kutoka.

Nikasogea pale dirishani ili jamaa awahi kutoka, kweli akatoka na kunipa nafasi nijaribu confidence na matokeo yake.

Daaah kuchek pisi imefungwa chanda chake na kufuli mbili, kufuli ya kwanza ya proposal kufuli ya pili ile ya mduara kwamba tutakuwa pamoja penye shida na raha (sitakusaliti hutanisaliti pia hahaa).

Nikasema pisi kali mambo, naomba niwekee hii laki kwenye simu yangu, ila wakati hayo yakiendelea nitaomba nipate namba yako tafadhali, najua umeolewa maana naziona kamba kidoleni kwako ila pia najua kwa vile unavyoonekana wanaume wengi sana wanakuomba namba na yawezekana ikawa ni kero kwako, lakini sikia naiomba namba yako mm sitakubughudhi bugudha ambazo zinaweza kukuleta shida had kwenye ndoa yako, ndo ya mtu ya thamani...
Mdada akasema namba ya nn bwana, wewe njoo upate huduma kama hivi basi, nikasema ni kweli ila sio poa unavyojib maana nimewaza karibia week mbili kufika hapa kukuomba namba kisha nafika uninyime utakuwa umenidhulumu nafsi.

Pisi ikaona isiwe tabu, ikamaliza kunitumia hela ikasema umeona msg nikasema ndio, ila namba yako sijaiona, ikasema anyway nipe yako, pisi ikatafuta kidafatri pale ofisin kwake sijui cha mahesabu kikageuza nyuma kikasema ehee taja nikataja namba kikaandika kikanijib tayar unaweza kuondoka.

[emoji1][emoji1][emoji3]mademu wapuuzi sana yani kimechukua namba kikaandika kwenye daftari tena sio kwenye simu, nikakiuliza kwa hiyo? Kikasema nitakuchek.

Nikaaga pale nikaondoka,
Ile pisi fwala sana, ikaisha week nyingine na nikawa nimesafiri hapo kati karibia week mbili plus, nikarudi mwezi huu wa saba kati kati bado bila bila sijatafutwa.

Sasa nikawaza nipotezee kwenda pale na kupata huduma au niende, wazo likaja nisipoenda ile confidence factor inakuwa haina maanaa, nikajisemea leo napita pale tena.

Nikatoka job ilikuwa jioni nikapitia kama kawa.

Sister mambo, naomba kutoa 50 hapo, kikajibu sawa toa, pale pale nikakitupia tuhuma za kigaidi kama zilizomkuta Mwenye Chair wa CDM, kwamba mbona namba ulichukua ila hukuwahi nitafuta yani una dharau wewe, kakasema oooh sorry hebu nitajie tena, nikataja pale kabla ya kumaliza kakasema basi imekuja ww ni K-boy nikasema naam, kanajib eti ipo kwenye simu ila nilisahau nimesevu kwa jina gani.
Hizi pisi zina utoto hahaha, unasevu halafu unasahau umesevuje, anyway nikasema basi nibeep kama unayo nipate yako kakasema poa, nikabipiwa pale...nikauljza jina nisevu nani nikaambiwa fulani...nikasevu nitakateleza shwaaaaa mithili ya nyoka anaingia pangoni akitokea nje kuota jua la jioni jioni kabla halijazama.

Nimefika nyumban nikamtext, msg ya kwanza kwamba nashukuru kwa namba ila nitahitaj kupewa ratiba zake nisije mtafuta kumbe mwenye kamba alizomvika yupo, akajibu mwisho nimtafute si zaidi ya saa moja jioni. Nikasema poa. Haya naomba tukutane kwa mazungumzo kidogo, coffee na drink kidogo.
Kakajibu nitakuambia.

Sasa hiyo nitakuambia ndo kila siku eti sina nafasi si unaona ninavyoshinda hapa, daah nikajisemea hii pisi vipi niiteme tu moyo mwingine unasema usipo ikula ile pisi itakuwa ushujaa wako ni wa maneno maneno kama Mzee mpili.

Nikakapotezea kama week nzima sikatafuti wala kukatext, imefika juzi weeknd nikakachek pisi upo.

Kakajibu nipo, nikasema mbona kimia, kakajibu ww ndio kimia, nikatuma msg mimi sipo kimia ila nangojea unambie maana ulisema unatafuta nafasi tuonane, kakajibu leo nitaenda kwa shangazi kisha nikitoka nakuambia.

Nimekaa hadi saa saba mchana hollaaa, mara ndi ndi msg ..upo wap? Naulizwa.

Nikasema nipo mtaani tu hapa napata lunch, akasema njoo sehem fulan unichukue, hahaa nasikia mshale wa saa una click kaa kaa kaa unahama from settling zone to battle zone, battle yenyewe ngumu kama aliyo ianzisha Mzee Gwaji Boy dhidi ya Chanjo aina ya JJ.

Nikaachia kijiko, nikaitisha maji nikanawa na kulipa bill na kuondoka, ila nafika naiona pisi imesimama ikinisubiria, park pisi ikazama ndani, daah jaman kuna vitoto vizuri lakini.

Nikahamisha kirungu toka P kwenda D, tukaanza kwenda mbele nisiulizwe wapi tunaenda, nimefika mahali mita chache kutoka yalipo machinjio ya kisasa nikapark nikampa alert tunaelekea machinjio fulani, mtoto ananitizama tu..basi tukaingia hotel fulan nikazima mashine tukafuatana.

Yaliyojiri huwa sipend kuelezea sijui maana sitaki mtu aamke aende bafuni na sabuni kuharibu sperm count [emoji16][emoji16][emoji16].

Tulivyotoka natumiwa msg kwa mara ya kwanza nakupenda!

Masihara ni part ya starehe ya Duniani, na starehe ni furaha ya moyo.
Niweke kituo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa ni malengo na kuna majukumu makubwa ya kuyatekeleza ndani yake. Kut0mbana ni kipengele tu kimoja ndani ya ndoa. Usipojitambua mapema mume na mke mtaishia kuchomana kwa petroli na ni muhimu ujana muwe mshaumaliza, mengineyo mnayamaliza kiutu uzima tu vinginevyo fainali uzeeni
Kwa hyo wewe upo tayari kuona mkeo ana kwichi kwichi kwingine?

Hili swali lipo direct, lakini jibu lake bdo linazungushwa tu
 
Ya Mhudumu wa Mpesa.

Ilikuwa mwishoni mwa mwez juni hapa Dar Es salaam, kuna sehem nikapita nikaona bango likionesha kibanda frem kuna huduma za fedha hizi ambazo Mzee wa Chemba kaamua kulundika makato huko ili tujenge barabara za lami hadi Matombo shambani (hii ndoto ikitimia basi tutakuwa mfano).
Duuuuuh sema ww jamaa mvumilivu sanaaaaaa yaani mmi mizungusho yte ile haukukata tamaa.
 
Back
Top Bottom