Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huu ni Uzi wa kiasherati na wengi humu ni wababa wenye ndoa wazinzi wakubwa ninyi.Okokeni ili muachane kujazana maujinga eti Je uliwahi kula tunda kimasihara?? Uzinzi tu yaone mimacho
LAKINI MAMBO YANAYOFANYIKA NI YA KWETU SISI BINADAMU TENA TANGU NA TANGU... SASA WEE UKILETA ZAKO KISHETANI POA NA UNYAMA TU KWETU SISI TUANPELEKEANA MOTO KAMA KAWA....
 
Wanamasihara, kuna demu hapa kitaa nilimtongoza naona kaninunia no salamu wala nini! Hapa nafkiria kushika hamsini zangu, lakini nikiwaza liletako na kuwa dilemma.

Msaada wa mawazo wazinzi wenzangu, tutatubu tukisha zeeka.
Achana nae,akiona umemkataa atakutafuta mwenyew, always muonyeshe demu kua kuna option zaidi yake.
 
Wakubwa habari ya kwenu,

Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu na hitaji msaada wa haraka sana. Ni muda sasa namfukuzia demu kauzu kweli kweli na anajibu short end clear, yani hacheki wala hatabasamu, yupo serious masaa yote ila sometime anaonesha responce.

Demu nimempima sana kimasihara kila siku napokutana nae, na nimegundua anajielewa ila ndiyo kauzu hata uingize gear namba ngapi hachanganyi, sasa naombeni password ndugu zangu.

Hakika huu mwezi sitaki uishe, nimemuanza na sitaki anishinde kwa ukauzu wake na anajua kabisa nataka nini kwake ila anajikuta kauzu sana.

Mimi naamini ni rahisi sana maji kupanda mlima ukiwa na password au funguo sahihi.

Asanteni.


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji389][emoji389]
Huyu manzi hataki hela mkuu, wala gari ashobokei,..

Nakumbuka nilichukua gari la msela nika enda tega njiani mida yake ya kazini nikamvizia njiani muda anaenda kazini kipindi cha mvua nika mpalift hadi kazini kwake nikajiongeza nikampa na kaela ka lunch kamsukume sukume ila hashobokei ma vitu ya anasa mkuu

Yani ni mgumu.

Nahitaji haya maji ya pande mlima ndugu yangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuona mtupie elfu 30 afu muangalie atacheka au atatabasamu
Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ngoja nisikilize NGOMA za Farid kubanda ntarud baadae kukoment.........
 
Back
Top Bottom