Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
You might only find 1 out of 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walisema laki mkuuKuna muda walitangaza kama tsh 1M hiv ila sina uhakika sana.....!! Hata me najua sema vifaa vyake ni ghar sana[emoji3525]
LAKINI MAMBO YANAYOFANYIKA NI YA KWETU SISI BINADAMU TENA TANGU NA TANGU... SASA WEE UKILETA ZAKO KISHETANI POA NA UNYAMA TU KWETU SISI TUANPELEKEANA MOTO KAMA KAWA....Huu ni Uzi wa kiasherati na wengi humu ni wababa wenye ndoa wazinzi wakubwa ninyi.Okokeni ili muachane kujazana maujinga eti Je uliwahi kula tunda kimasihara?? Uzinzi tu yaone mimacho
Achana nae,akiona umemkataa atakutafuta mwenyew, always muonyeshe demu kua kuna option zaidi yake.Wanamasihara, kuna demu hapa kitaa nilimtongoza naona kaninunia no salamu wala nini! Hapa nafkiria kushika hamsini zangu, lakini nikiwaza liletako na kuwa dilemma.
Msaada wa mawazo wazinzi wenzangu, tutatubu tukisha zeeka.
Huyu manzi hataki hela mkuu, wala gari ashobokei,..[emoji389][emoji389]
Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuuUkimuona mtupie elfu 30 afu muangalie atacheka au atatabasamu
Mimi 32Umri wako kwanza.
Uyo kiburi nambaake s unayo lknNilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Una uhakika huyo ni mwanamke???Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Namba ninayo ila haisaidii kitu mkuu.Uyo kiburi nambaake s unayo lkn
Ngoja nisikilize NGOMA za Farid kubanda ntarud baadae kukoment.........Nilisha fanya yote hayo, anapokea anasema asante alafu ana nirudishia ananiambia umenipa nimepokea na mimi na kupa nenda katumie au kaweke zitakusaidia baadae ukikataa anaziweka hata chini mkuu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app