Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,750
- 2,283
Timu ya watafiti imechambua data kutoka kwa karibu mataifa 90 ili kubaini ni wanaume wa nchi gani wana ukubwa wa wastani wa uume uliosimama.
Utafiti huo, uliochapishwa na Data ya Ulimwenguni, ukitanabaisha kwamba wanaume wa Ekuado ndio watu waliobarikiwa uume mkubwa zaidi ulimwenguni kufikia wastani wa kipimo cha urefu wa inchi 6.93 na kufatiwa na Cameroon wakiwa na inch 6.56.
Orodha kamili imeonyeshwa hapa chini:
Source: International penis sizes compared