Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Futa screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saiz huwezi kuelewa kichwa cha chini kishapata moto naona😃😃😃Wadau si mnipe muongozo nisije rudi nalia
Eti anatangaza kabisa anaenda kufanya yake ni aibu dah yaani huyu dada anatakiwa awe makini atapostiwa mitandaoni vibaya sanaYaani mwanaume gani hana kaba
Ndio ndiye mwenyewe.Kumbe ndiye yule muandishi wa dozi ya UTI
Bora ajue mapema haina haja ya kumfanyia roho mbaya kumkalia kimyaUngemuacha kwanza...tumwambie akirudi😂😂😂
Umehifadhi ya nini mkuu😃😃🤣🤣😂😂😂😂Futa screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Jamani wewe kijana😃😃🤣🤣🤣🙌Maskini Lydia!
Sijui nifungue Uzi wa live update 🤣mpaka shughul itakapokwisha
Real men don't kiss and tell......sijui wamekuwaje siku hiziEti anatangaza kabisa anaenda kufanya yake ni aibu dah yaani huyu dada anatakiwa awe makini atapostiwa mitandaoni vibaya sana
huyu sio mcuba angekuja kwenye uzi wa rick boy apate darsaFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Hapo hata umwambie kwa kutumia nini hatakuelewa... kichwa kishapata moto 😃😃🤣🤣🤣Bora ajue mapema haina haja ya kumfanyia roho mbaya kumkalia kimya
Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeendaFuta screenshots,namba inaonekana wee falaaa.
Mimi tayari nimeihifadhi.
Ila nyie kudinyana jpili raha, unapiga show fresh usiku unamwagilia roho kidogo jtatu unaamkia kazini na kahasira hasira flan unakua hauna mzuka wa kuongea na watu mpaka saa nne hvJamani wewe kijana😃😃🤣🤣🤣🙌
huyu hatamlazia damu kama kaipata kilio kimepelekwa kwa ndugu yetu. maskini lidya ushakuwa wetu sasa.Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeenda
Da Ua jamani😃😃..eti ubongo unavuja🤣🤣🤣🤣🤣🙌Sio kila mtu unamvulia utakuja mvulia ambaye kujitambua ngumu halafu unajuta maisha yako yote ningejua wengine wanatakiwa uwachunguze kwa undani unaweza kukuta ubongo unavuja
hyu lidya ni kibokoNi baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.
Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.
Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.
Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.
Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Usiniambie 😃😃😂😂🙌Ila nyie kudinyana jpili raha, unapiga show fresh usiku unamwagilia roho kidogo jtatu unaamkia kazini na kahasira hasira flan unakua hauna mzuka wa kuongea na watu mpaka saa nne hv
Si ile wanajiona hatuna dhamani tena ndio shida kama huyu anaenda kutoa mchezo eti kisa kasaidiwa jambo, si aibu jamani atasaidiwa na wangapi na atawapa wangapi??Real men don't kiss and tell......sijui wamekuwaje siku hizi