Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ni baada ya kumfanyia kazi yake vizuri ambayo amesumbuka nayo karibu nusu mwaka ila mimi nimemtatulia kwa siku mbili tu.

Mtoto alifurahi sana na akaleta ukaribu zaidi ya mteja ambao hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuukataa. Kifupi sina nguvu za kubisha na kuukataa huu ukaribu.

Kwanza hakuna kinacho nigharimu kwa sababu kazi yake imenipa pesa nyingi sana yaani na mtoto kaona haitoshi kaona anipe na kibuyu cha asali.

Jaman uwaminifu unalipa, na ukiipenda kazi yako kama ndugu yetu insider man hivi vitu vipo.

Mtoto kama vanessa mdee una tumia njia gani kumkataa usile tunda lake eti jaman....? Tuwe serious kidogo. Fadhira muhimu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3060][emoji3060][emoji1635] jpili yangu imesha kuwa poa View attachment 2715465View attachment 2715466View attachment 2715467
Ukikua utaacha. This is too childish.
 
Mzee wa kimasihara 😅😅😅😅hii imeenda
Imeishaaa.

Kuna Jamaa aliwah gombana na Demu wake, akaja JF kuweka meseji anaomba mawazo, akawa kaficha namba, ila Kwa macho ya kichina kama yangu ukizoom ,zikawa zinaonekana.

Toka huo mwaka 2018 mpaka Leo, Demu wake najitafunia Kila napopata nafasi ya kuja maeneo yaleeee !!.
 
Imagine unachat na mtu unakuta chat zenu huku Jf duh
Ila inaonekana age inaruhusu
 
Imeishaaa.

Kuna Jamaa aliwah gombana na Demu wake, akaja JF kuweka meseji anaomba mawazo, akawa kaficha namba, ila Kwa macho ya kichina kama yangu ukizoom ,zikawa zinaonekana.

Toka huo mwaka 2018 mpaka Leo, Demu wake najitafunia Kila napopata nafasi ya kuja maeneo yaleeee !!.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejikuta nacheka vijana wa hovyo bana
 
Back
Top Bottom