Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyu dada atakoma
Yaani atapigiwa simu hadi na machizi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Anaeza mfanya mtoto wa watu awe trending kwenye social media [emoji23][emoji23][emoji23]na atakuja toa ushuhuda jinsi jamii forum ilivomuokoa kwenye kuliwa tunda kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom