Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hahaha samahanini wakuu nimeanza kwa kucheka lakini huku moyo wangu ukiwa kwenye masononeko kuna mkuu kalike moja ya kimasihara yangu huku niliwahi post 2021 baada ya kula malaya kimasihara nabadae vipimo kunichanganya na kuniacha nikiishi kwa hofu na kuapia sitorudia kuuza mechi ila binadamu tumeumbiwa kusahau mwaka huu Feb nimejichanganya kimasihara kwa lidem silielewi nikauza mechi baadae nakuja mpima baada ya kuuza gem anamoto tena moto kweli kweli aisee hapa ninaishi kwa hofu sanaa hii kimasihara itatuponza wakuu tujilinde sana NB niliwahi PEP within 8 hrs baada ya tukio namuomba Mungu anisaidie nitoboe maana sio kwa hizi stress asante sana
Kula PEP vzr, uhakika itakutoa.
 
Kabisa mkuu PEP zinasaidia nina mwezi toka nimemaliza na majibu bado yoko poa nimebakiza mwezi mmoja tu ku conculude
Poleni sana. Bado mko gizani. Kumbukeni waliozileta hizo pwepu 😀 ndio waliuleta uongo kuhusu mududu. Ukisikia fake juu ya fake ndio hii sasa.
 
Poleni sana. Bado mko gizani. Kumbukeni waliozileta hizo pwepu 😀 ndio waliuleta uongo kuhusu mududu. Ukisikia fake juu ya fake ndio hii sasa.
Bro uko sawa ulisemalo but stop don't day that kwenye huu uzi wangu unaweza anzisha thread yako na ukaliongelea ilo am sorry kwa kuandika hivi acha ambao wanazitumia waendelee kuamini usilete taharuki na ndio maana ata ndugu zetu wa afya wanazitumia ila asante kwa mchango wako hapa
 
Ilikuwa mwezi wa 10, nimerudi toka Masomoni ughaibuni.Lengo la kuja Mkoa X ni kuangalia viwanja vyangu na pia ndugu na jamaa zangu.
Ghafla nikapata shida ya jino, maumivu ni makali mno, kwa kuwa najua watu wangu wa meno basi nikavumilia hadi asubuhi.
Baada ya kuhudumiwa jino, nikarudi nilipofikia, ndani hakuna jiko, wala kikombe ni geto la muhuni Chiko, unakula kwa mama ntilie tu.
Mnavyojua, ukiwa na shida ya jino, huwa kula ni shida hasa kwa wali ama ugali.
Kufika saa tatu usiku, nakumbuka kuwa kuna dada mmoja ni rafiki yangu sana, anaishi mitaa fulani ya kati ya mji na ninajua hana mume na yupo single muda tu.
Kwenye simu, halo aunt .mambo......Kwa simu..poa kijana wangu, nasikia umerudi ila hutaki kuniletea zawadi za ng'ambo.
Tukacheka kidogo, ingawa sikuwa vizur kuongea.....
Aunt sory, nashida ya uji, naweza pata kwako, uniandalie..kisha nitume boda.....Akasema sawa, ....story kidogo akajua nina shida ya jino, ndio maana naitaji uji.
Baada ya nusu saa, akasema uji tayari, tuma boda aje kuchukua.
Kumbuka nina muda kama 3yrs sijarudi huku, hivyo boda wangu wote naowajua siwapati kwa simu..
Aunt alivyoona muda unazidi kupita, akasema ama nikuleteee, umefikia wapi?.nikaona mhhhhhhh hapa ni noma, kumsumbua mtu usiku huu ni risk na nitamlipa nini?
Nikawaza fasta, nikasema boda anakuja...ukae karibu na simu.....[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Kidume nikavaaa jezi yangu na track, nikaweka elfu 20 mfukoni, nikatoka zangu rami.
Kufika kijiweni, nikaona boda 2, wakasema twende brooo, nikamuelekeza namna ya kufika kwa aunt uchwara, akasema kwa muda hui ni elfu 5.... Nikasema poa.
Aunt nimefika, nimeona bora nije mwenyewe.Akasema poa, katoka kufungua mlango..tuka huge pale, nikaingia ndani boda kasepa nikachukua namba ya boda.
Asante kwa uji, nikanywa pale na story zikaendelea na ucheshi kibao.
Kufika saaa saba usiku, tukawa tupo hoi tumechoka, nikasema ngoja nimuite boda aje kunichukua.Piga simu, piga simu, piga simu haipokelewi..piga zaidi ya mara 6, Aunt nae akachukua namba, piga kama mara 4 hapokei.Tukasema tusubil nusu saaa kisha tupige tena, napo hatukufanikiwa.
Akasema hakuna namna, wewe utalala chumbani na mim nitalala kwa kochi hadi asubuhi, ukizingatia wewe unaumwa jino.
Ukweli nikagoma kabisa, mim nitalala sebreni, wewe kalale chumban nipe shuka tu, pale kuna sofa mbili, nikaziunganisha nikaweka ubavu.
Aunt akaingia room kwake, baada ya dakika 30, akatoka kunipa mto na mafuta ya mbu ya kupaka...
Alitoka na night dress tu jamani.
J chukua hizi zaga, nikaamka nikapokea , kipindi anageuka kurudi ndani na mawenge ya usingizi yale, nikajikuta nasema duuuuuu, uko sawa sana.
Aunt kageuka, unasemaje.....nasema uko sawa sana, nizimie na taaaa hiyo.
Kitendo cha kuzima taaa tu, nikamfuata chumbani kwake nikawa mgongoni kwake.....akanisukuma kwa matako, mweeeeee,
Tako laini, ngozi nyororo, unywele kama mturuki wa pemba.
Nikawai chuchu, nikaanza kutomasa, tomasa sana, piga fingure za kutosha, gusa kila kona.
Nikamvuta kwenye kochi, nikapiga dog style.
Mechi ikaenda kuendelea chumbani, huko ndio nikamaliza ufundi wote, ukweli nilipata kitu kipya kwa aunt.
Tukalala hadi asubuhi, nikarudi kwangu....
Mechi iliuzwa kama kawaida.
N.b
Mechi ya marudio imefanyika DSM jiji la Charamira.Kesho anakuja tena.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana bado unauza mechi?... Askari anaendaje kwenye ajari bila bunduki?

Shenzi kabisa kama Shabiby.
 
Closer to the bone, the sweeter the meat

Kuna mwamba ka like post yangu hapo juu nimekumbuka kisa cha hivi karibuni

Kwanza nina visa vingi sana kwa sababu nnapenda papuchi, halafu nikiwa free, ninahangaika aisee

Kuna siku nilikuwa nimetulia Reggae Bar, masaki, wakongwe mnajua nini kinapatikana hapo, mdogo mdogo namalizia kazi yangu, ghafla bin vuu akaingia rafiki yangu thandi akiwa na pisi moja model, mrefu, mwembaba hatari sana, aisee yule demu ni mzuri, black namfananisha na harrieth paul kabla hajazaa

Sikumshtua thandi, nawaangalia wamekaa wameagiza msosi na joint wanavuta mdogo mdogo, mwamba ninamalizia konyagi yangu, nikasogea. Thandi ni mshkaji wangu toka tukiwa wadogo, tumekuwa wote, tumesoma wote tuliaachana ukubwani, tukakutana baada ya kumaliza chuo, akiwa yupo vizuri kweli kweli. Sijawahi kumla ni family

Alifurahi sana kuniona, tukatambulishana pale, na yule binti, ni ndugu wa diplomat wa nchi moja jirani ya EA wanaishi wote, katokea Arusha, tulifurahi sana pale, takahama kwenda samaki samaki, mida ya saa 8 usiku nikawaaga, hapo nimeplan nizame zangu gentleman sinza, nikamalize usiku, sikutaka kum disappoint thandi kuhusu huyu demu maana anamjua mke wangu, akaniuliza ninapoelekea, akaniomba nim drop kale ka beautiful baby Gianna hotel, nikasema why not, njia ndio hiyo hiyo.

Njiani tunapiga story, akaniuliza plan yangu usiku hulo nikamwambia naenda ze aza side of the town, can i join you? twendeee...

Tumeend gentleman, pakamboa, kitambaa cheupe akaomba kwenda kulala

Tupo kwenye gari, nikamshika mkono, katulia, nikausogeza kwenye paja, akasema stop, u are a married man, nikamuambia hapana i am not, akasema thandi told me you are, daaah nikamuambia if i am married mbona nipo hapa na wewe, ooh bad husband, bla bla bla, nkamuambia we are not together, eeh kama kweli lala na mimi hapa nkasema hii imeisha...

Nitaimalizia soon
 
STORI ZA JABA 😂🤣
 
Nilivyomula mhasibu wa parokia kimadihara.

Mwaka 2023 alidanja baba wa padre.

Waumini tukajipanga kwenda mazishi, nauli tukachanga ya kutosha kujaza mafuta Eicher mbili za jimbo zinazotumiwa na shule yao.

Safari inaanza saa9 jioni kuelekea Kijijini kwao father, Mimi na mhasibu tumekaa sit ya nyuma tunafunga hesabu.

Tunafika msibani saa2 usiku watu wanaiba na kucharaza vinanda..... Hata sijui ilikuwaje nilimuinamisha kwenye sit nikamwagia kimoja.

Tukarudia gem saa5 migombani.
Stori za jaba 😂🤣
 
Nilivyokula Tunda Kimasihara na Kuambulia Kipigo cha Mbwa Koko huko Nairobi [emoji1139]

Mwaka 2012 nilijiunga na chuo kikuu kimoja nchini Kenya, ikiwa ni baada ya kukosa course niliyoazimia kusoma katika vyuo vya hapa ndani.

Hii ilikuwa mara ya kwanza kutoka nje ya nchi, na wonderful enough nilisafiri kuelekea jijini Nairobi peke yangu nikiongozwa na instincts za kibaharia. Ubaharia wangu unatokana na kusoma shule za boarding toka darasa la nne! Tena shule zenyewe mbali haswa na nyumbani; anyway story for another day.

Nilifika Nairobi jioni ya saa 12 na kuchukua taxi kuelekea eneo chuo kilipo. Nilipowasili nikapokelewa vizuri na wanachuo wenzangu wa higher levels (orientation crew) kwa ajili ya udahili na taratibu nyingine za usajili. Baada ya hapo tukaelekea dining hall for dinner.

Kesho yake asubuhi tukaamka mapema kujiandaa na siku ya pili ya orientation program. Generally, ukifika chuo especially privately owned, chenye hadhi ya kimataifa, haya ni mambo ya kawaida haswa kwa wanafunzi wanaotoka nchi tofauti.

Tuliendelea na orientation kwa wiki nzima, na baada ya hapo nikaanza kuona watu wanaongezeka kwa kasi ya ajabu, kumbe sisi tulipaswa ku-report wiki moja kabla ya wanachuo wazoefu ili kujua mambo mbalimbali kuhusu chuo ikiwemo sheria, taratibu, mifumo, mazingira na utamaduni wa chuo hicho na nchi kwa ujumla.

Ilikuwa siku ya Jumanne mishale ya saa sita na nusu mchana (ndio ulikua wakati wa kwenda dining hall kwa ajili ya lunch). Na kawaida ukifika dining unakuta mstari wa wanafunzi wenzako, unaunga kuelekea kwenye meza za chakula kwa ajili ya kuserve.

Nilipanga mstari nikiwa tayari nimeshaanza kupata washkaji, nikiwa na mwanangu mmoja (Mkenya) tunapiga story za hapa na pale. Wakati tunaendelea kusonga, nikamuona binti mmoja mdogo mdogo mzuri kweli. Alikuwa akitoka kuashiria ameshamaliza kula anaelekea darasa la mchana. Nilimuangalia toka anasimama kwenye meza yake mpaka akiwa anakaribia mlangoni, kumbe naye ali-notice. (Utajua badae)

Basi mshkaji akaniuliza mbona umemuangalia sana huyo manzi? Umemuelewa nini? Tukacheka, yakapita tukachukua chakula tukakaa kula na kuondoka. Jioni ya siku hiyo hiyo nikawahi kwenda dining kwa sababu nilikua sipendi kukaa muda mrefu kwenye mstari wa chakula na uzuri chakula huwa tayari kuanzia saa 12 kamili jioni.

Wakati naingia tu dining hall, nikaona watu wawili mbele kabisa wakiwa wanapakuliwa, na jinsi walivyo ilikua dhahiri ni wapenzi. Walitaniana, wakashikana mikono, huku wakibebeana chakula kuelekea mezani. Sikutilia maanani sana kwa sababu chuoni nilikua naelewa hayo mambo ya kawaida sana.

Nilipigwa butwaa baada kuchukua chakula, napita kuelekea mezani na kugundua kumbe yule manzi niliyemuona mchana, ndio huyu huyu namuona hapa na jamaa wanakula pamoja. Nikajisemea anyways, it's life. Nikala nikaondoka zangu.

Baada ya kama wiki mbili tatu nikagundua kuna genaral course natakiwa kuanza kuhudhuria kwa sababu lecturer amerudi. Ilikua Ijumaa mchana natoka dining kuelekea lecture room, nikiwa na rafiki yangu mmoja wa kike Mtanzania mwenzangu tunawahi class. Kwa mbali namuona tena yule binti wa dining hall, kwa mara nyingine. Coincidence Hizi!. Wakati tunapishana naye, akamsimamisha yule dada nilikua naye na kuanza kuongea naye. Mi nikaendelea mbele kidogo huku nikiwa nimepumguza mwendo kumsubiri bestie yangu.

Basi wakaagana kama baada ya dakika na sekunde kadhaa, tukaendelea na safari yetu kuelekea class. Tukiwa njiani nikamuuliza unamfahamu huyo dada tuliyepishana naye? Akajibu ndio, nilikua naye group moja la discussion last semester. Nikamuuliza Jina akanitajia, na safari ikaendelea.

Nimefika class tumekaa tunasubiri pindi lianze, ikaingia meseji kwenye simu yangu, number ngeni. "Hi, It's Jessy... Judy's friend. She gave me your number. Hope you won't mind. Have a nice class."
Mmmmh nikajisemea kimzaha tu, ila sikujibu ile meseji wakati ule. Lecturer akaingia, piga pindi pale kama saa mbili na nusu, tukachomoka. Nikaenda zangu hostel. Hostel zetu zilikua nje kabisa ya premises za chuo, so we're free after class. Kufika nikamjibu ile meseji. "Hi Jessy. Sorry for late reply, I had a nice class, I'm out now. Thanks for the wishes".

Akaja kujibu jioni kabisa. Tukachati kidogo jioni ile, akaniambia leo haendi kula dining hall, kama sitojali niagize pizza aje tule wote. Nikajisemea Woyooooo mambo si haya sasa. Bila hiyana, nikamwambia limepita hilo. Kweli mida mida nikaagiza pizza (sio hizi za Pizza Hut au Chicen Inn, kuna mwamba mmoja nje ya chuo alikua na fast food restaurant yake local ina aina zote za vyakula vya kisasa ila kwa bei ya wanafunzi).

Nikajitutumua nikanunua pizza ya Kshs 500, kwa kipindi hicho hiyo ilikuwa kama Tshs 8,500 hivi. Na soda mbili. Nikatuma meseji, pizza imekuja, nikatuma na jina la hostel na number ya chumba. Hapo nimepiga maji, unyunyu wangu wa mchongo, kitanda kisafi, ghetto murua kabisa. Nikakaa naangalia movie mdogo mdogo kwenye laptop.

Baada ya kama nusu saa hivi, nasikia mlango unagongwa. Fungua, mtoto huyu hapa. Tukasalimiana vizuri sasa ile face to face. Tukapiga story mbili tatu, nikatenga Pizza mezani tukaanza kula. Tumekula tukamaliza, tukaendelea na story. Tukaanza kuongelea movies, hapo sasa ndio nikajua weakness yake. Movies. Sikupoteza hata sekunde, nikachagua movie tukaanza kuangalia.

Sasa hizi hostel za wanafunzi zilivyokuwa designed ni for one person only. Kitanda ni 4/6, kuna kiti kimoja, meza moja ya kusomea, kasehemu kajiko, sinki halafu kwa pembeni kuna mlango wa kuingia washroom (self-contained).
Kwa hiyo wakati wote huo tunaangalia movie, tulikua tumekaa kitandani.

Mida ikaenda, bado yupo. Sikutaka kuuliza maswali mengi, nikazima taa, vua pensi na t-shirt. Nikamwambia na hii baridi si tujifunike blanketi tu? Hakubisha maana kweli kulikua na baridi, na saa izo ni saa tano kasoro. Ukweli kilichoendelea sina haja kuelelezea, kila mtu anajua.

Baada ya show, mida ya saa saba nikamsihi alale, akasema siku nyingine leo nimsindikize tu. Basi nikaamka nikamsindikiza hadi karibu na kwake. Sio mbali sana, just approximately 5 minutes walk. Nikarudi kwangu, nakuta texts nyingi za sifa. Akaniambia notion kuhusu obsession ya wanawake wa Kenya kuhusu wanaume wa kitanzania, huku akikiri kuthibitisha hilo. Nikapokea maua yangu nikalala.

Asubuhi naamshwa na meseji yake. Ni kama tayari alikua manzi yangu sasa. Nikajisemea moyoni kama wote ni hivi si ntafia huku mimi? Nikajichekea nikaamka kujiandaa na ratiba ya siku. Hakukua na masomo kwa sababu ilikua Jumamosi. Mida ya saa tano asubuhi akaniuliza kama nipo, nikamwambia nipo library chuo, kuna assignment namalizia. Akasema nikirudi nimjuze na nisile popote, amepika.

Saa sita mchana nikarudi, hata sikumaliza assignment, nikajisemea kesho pia ni siku. Nikamwambia aje, nusu saa huyu hapa na container za chakula. Tukala hapo, tukashiba. Ugonjwa wake ni ule ule, movies. Uzuri nilikua naangalia sana movies nilipomaliza form six. Nilikua na almost 500 GB HDD imejaa movies na series tu, hapo acha zilizoko kwenye laptop.

Ukweli hata movie haikumaliza opening credits (yale majina ya mwanzo kabisa movie inapoanza kama Directors, Producers, Starring etc.) tulikua tayari mbingu ya saba. Movie inaendelea huku, na sisi tunaendelea na yetu. Piga show nyingine ya kibabe mno mchana huu. Tukalala hadi jioni kabisa mida ya saa 12. Tukaamka akaenda kuoga, kajiandaa akarudi kwake.

Mi nikabaki zangu naangalia movie. Mida ya saa tatu, nashangaa mlango unagongwa. Nikasita kufungua, maana sikua nategemea mgeni yoyote usiku ule. Ukaendelea kugongwa tena. Nikasimama kufungua, ile nimefungua tu, nikapokelewa na bonge moja la kibao. Nikakaa kwenye kiti nikiwa na wenge.

Wakaingia jamaa wawili, mmoja kapanda hewani mwingine saizi yangu japo ana mwili kuniliko. Kabla sijaongea chochote wakanikalisha chini kwa nguvu, sijakaa sawa nikapigwa teke la mbavu. Hapo sasa uzalendo ukanishinda, nikataka nianze kupiga kelele kwa sababu ukweli nilikua nimezidiwa.

Kabla sijafanya chochote, wakaniuliza swali moja tu na hapo nikajua nilipoyatimba.
"We ulicome Kenya kut*mba madem zetu ama kusoma msee?"
Nikakumbuka huyu ni yule jamaa nilimuona na Jessy kule dining hall wiki iliyopita. Akaniuliza tena na kibao juu, "Unajua Jessy ni dem yangu?" Kabla sijajibu mwenzake ngumi ya kichwa, huku anamshauri wakanireport kwa Dean of students nifunzwe adabu. Mwenzake anamwambia "wacha kwanza sisi tufunze adabu ghasia hii".

Wadau, nilichezea kichapo sio cha nchi hii, literally [emoji23]. Baada ya yote wakachukua simu yangu wakaniambia nitoe nywila (password), kinyonge nikatoa. Wakapitia meseji zote nilizochati na mrembo. Makosa. Wakafuta kila kitu hadi number ya Jessy, wakanionya siku wakasikia tena nimetoka naye, itakua mwisho wangu. Wakaondoka.

Aaaaaah nikapumua pumzi ndefu sana!. A sigh of relief. Nikakaa pale chini karibu nusu saa, natafakari. Wiki ya tatu tu hapa, nimeshaanza kutoka ngeu ntatoboa miaka minne kweli? Sikutaka hata kutoka nje, nikazima taa, simu, laptop yaani kila kitu nikajifunika. Nikajaribu kulala.

Sikulala usiku kucha, wasiwasi, nipo nchi ya watu, jamaa wanajua hadi kwangu, wakija usiku wa manane wanivunjie mlango wanipige beto?

Nikaamka mapema sana Jumapili, nikajiangalia kwenye kioo, sikuwa nimevimba sana, na uzuri nilikua na miwani na kofia. Nikatoka huyo mpaka chuo, nikakaa library hadi saa nne. Simu bado iko off. Nikaiwasha, meseji ya kwanza "Good morning babe", nilichoka mwili, nafsi na roho kwa sababu zilikuwa number za Jessy. Kumbe jamaa walifuta tu hawakublock.

Sijakaa sawa, simu yake inaingia. Nikajishauri, nipokee au nisipokee. Nikapiga moyo konde, nikapokea. Akawa anashangaa mbona sikua hewani tokea jana usiku hadi asubuhi ile.
Nikafunguka kila kitu kilichotokea usiku wa kuamkia siku hiyo baada ya yeye kuondoka.

Ukweli kabisa, yule binti alikasirika na kuhuzunika mno. Akaniambia tukutane nje ya geti la chuo tuka-report polisi yule jamaa akamatwe. Sikutilia maanani ushauri wake kwa sababu sikutaka mambo yawe mengi, mtu niko nchi ya watu huko nianze kusumbuana na polisi. Nikapotezea. Ila nikamwambia sikuwa tayari kuendelea naye tena.

Bado story ni ndefu ila nimechoka kuandika leo. Ngoja nivute pumzi.
Sikuwahi kusoma ujinga mwingi kiasi hiki. Mimi ni mkenya na wakenya hawaliwi ovyo ovyo
 
Closer to the bone, the sweeter the meat

Kuna mwamba ka like post yangu hapo juu nimekumbuka kisa cha hivi karibuni

Kwanza nina visa vingi sana kwa sababu nnapenda papuchi, halafu nikiwa free, ninahangaika aisee

Kuna siku nilikuwa nimetulia Reggae Bar, masaki, wakongwe mnajua nini kinapatikana hapo, mdogo mdogo namalizia kazi yangu, ghafla bin vuu akaingia rafiki yangu thandi akiwa na pisi moja model, mrefu, mwembaba hatari sana, aisee yule demu ni mzuri, black namfananisha na harrieth paul kabla hajazaa

Sikumshtua thandi, nawaangalia wamekaa wameagiza msosi na joint wanavuta mdogo mdogo, mwamba ninamalizia konyagi yangu, nikasogea. Thandi ni mshkaji wangu toka tukiwa wadogo, tumekuwa wote, tumesoma wote tuliaachana ukubwani, tukakutana baada ya kumaliza chuo, akiwa yupo vizuri kweli kweli. Sijawahi kumla ni family

Alifurahi sana kuniona, tukatambulishana pale, na yule binti, ni ndugu wa diplomat wa nchi moja jirani ya EA wanaishi wote, katokea Arusha, tulifurahi sana pale, takahama kwenda samaki samaki, mida ya saa 8 usiku nikawaaga, hapo nimeplan nizame zangu gentleman sinza, nikamalize usiku, sikutaka kum disappoint thandi kuhusu huyu demu maana anamjua mke wangu, akaniuliza ninapoelekea, akaniomba nim drop kale ka beautiful baby Gianna hotel, nikasema why not, njia ndio hiyo hiyo.

Njiani tunapiga story, akaniuliza plan yangu usiku hulo nikamwambia naenda ze aza side of the town, can i join you? twendeee...

Tumeend gentleman, pakamboa, kitambaa cheupe akaomba kwenda kulala

Tupo kwenye gari, nikamshika mkono, katulia, nikausogeza kwenye paja, akasema stop, u are a married man, nikamuambia hapana i am not, akasema thandi told me you are, daaah nikamuambia if i am married mbona nipo hapa na wewe, ooh bad husband, bla bla bla, nkamuambia we are not together, eeh kama kweli lala na mimi hapa nkasema hii imeisha...

Nitaimalizia soon
Malizia mkuu [emoji1787][emoji1787]
 
KIMASIHARA NA MATUKIO HATARISHI
1. Binti nilisimama nae kwenye daladala kutoka buguruni kwenda gongolamboto, tukiwa tumesimama kwenye daladala nikamwambia tunaenda kwa urefu akatabasamu na kuniambia kwa nini, nikamwambia siunaona tulivolingana, akacheka nikamwambia naomba tushukie banana tuongee na kupata dinner akakubari, tumeshuka tukala na nikamwambia tuende lodge tukaenda nikamla, hakuwa na cm nilimwachia namba feki mpka leo simjui na sijawah muona tena
2. mama mweupe ananizid miaka mitatu morogoro msamvu nikamuita akasema unasemaje 'nikamwambia uko mzuri akatabasamu nikamwambia tupate msosi pamoja akakubari, baada ya hapo nikamwambia tuende lodge akakubari nikaenda mla
3. mke wa mtu nilimkopesha milion ya kulimia mpunga nilimla ndani kwake mara nne, mmewe alikuja stukia badae nikaachana nae
4. mwalimu wa chuo nilipanga nae maeneo ya gomz mmewe anafanya kaz mkoan, nilimuita chumban anisaidie kupanga vitu akaja nikamsifia anatako akatabasamu'nikamshika kiuono akafurahi nikamvutia kitandani akaliwa
5. mke wa mtu kahama huko nilipanga nae nyumba moja zile za kushare corido wakapigana uck ile kuchoropoka anakimbia akatoka nje mmewe kamfuta akajibanza , mmewe akaja kulala akafunga mlango nilikuw nimetoka nje wkat wanapigana nikamuona anakuja nje ya mlango wao nikamuita kwa ishara akasogea nikamvuta ndani nikafunga mlango akaliwa hadi asubuhi, mmewe kaenda kazini akafunga tena mlango nikamtoa akaenda kwa dada yake alikuja kurudu kesho yake kwa mmewe
niishie hapo kwa sasa nishatubu nakuacha wake za watu maana huyo wa kumkopesha milioni alikuwa ananionesha ishara za tigo nahisi mmewe anamlaga tg
naomba namba wa huyo wa milioni
 
Hivi ni kweli kiongozi ukiwa unatumia PEP haupati ngoma?
kabisa nina miaka 3 kila nikiwa na pesa ndefu naenda kuchukua kwa kusingizia amegoma kupima wananipima sina wananipa na sijawahi pata na wengi nimepima nao wana ukimwi kabisa vissue ni kupenda kunywa maji mengi maana kuna watu wanaogopa figo sijui uwongo gani ila mwamba nina takribani miaka 4 sijawahi tumia ndomu kabisa na mm ni malaya hatari amna mtu anaenda club hizo ukimwambia jina au mwonekano wangu hanijui
 
Back
Top Bottom