Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Afu ww, Mbn sikusomi?Millenial children
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu ww, Mbn sikusomi?Millenial children
Kuna mtoto alipuliza iliyotumika huku manii za kidume zikiwa full, kwa bahati mbaya akamlipukia mtoto mwingine usoni kichwa chote kikawa cheupe cha lowasa kina uafadhali.Na wanapuliza mbele za wakubwa, na hawana wasi wasi.
Wanafumia boli zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi Kuna Moja naichakata Toka Kilwa Pande maeneo ya Lihimalyao huko, ni moto wa kuotea mb
Boya mmoja tu, ngoja ufe.Nilivyomla kimasihara na Dada Masai muuza mitumba na kuambikizwa Gono.
Mwezi huu wa nane nilikuwa na harakati zangu za maisha zilizonipeleka Mbeya kwa wiki 2. Nimekaa hotelin Mbeya kwa wiki hizo 2 nikiamka asubuhi na kwenda kwenye mihangaikohiuyo then jioni narudi hotelini.
Jumapili moja nimewahi kurudi saa 11, nikaingia kuoga na kupumzika kidogo. Kuna jamaa alikuwa na mwanamke chumba cha jirani so yule dada akawa anapiga kelele na kulia jamaa anavyompiga bomba. Mi nikawa nasikia na mizuka ikanipanda na ilikuwa ni zaidi ya wiki nitoke home kwa Mama Manka.
Akili ikaniruka nikasema leo ngoja nitafute kimasihara. Nikavaa nikatoka hotelini nikiwa nimechanganyikiwa nikasema lolote naliokota na kulila kimasihara. Nikaanza kutembea tembea barabarani nikijisemea yoyote nitakayekutana naye hata kama ni mbuzi au kuku nitaondoka naye nikamalizie huu mzuka.
Hahaaaaaaa, sikwenda mbali na hotel nilipofikia nikakutana na janamke Nene, jeusi, kubwa na refu. Nikalisimamisha na kuliuliza linapoenda. Nikaliomba namba za simu na nikaanza kurudi nalo linapoenda mitaa ya hotel nilipofikia. Nikawa nalisifia, nikaliomba lione nilipofikia. Likakubali na kuliingiza chumbani kwangu.
Lilipoingia likashusha kofia ya sweta alilovaa na kujifunika kichwani. Dah, limenyoa kiduku. Nikiliangalia mdomoni, lina bonge la Pengo. Mzuka ukawa unakata kidogo kidogo. Nikaanza kuliongelesha ili nione uelewa wake lisije likawa na lichizi nimeliokota. Likawa linaniambia lenyewe lina goli la kuuza mtumba soko moja hapo Mbeya na kiasiri ni limasai. Nikaliambia, sawa nenda kaoge huku nafsi yangu inanisuta na ule mzuka unazidi kupungua. Shetani wa ngono akanishawishi baada ya kutoka kuoga nilivyoona lile tako kubwa na jeusi kwenye taulo alilojifunga kuanzia kifuani.
Hahaaaa touch mbili tatu kama wasemavyo wana JF, nikavaa ndomu na kulipiga pipe. Kumbe wakati wa mchakato wa kushusa wazungu kwani sikukamia ni ugwadu tu ulinizidi ndomu ilipasuka nikashangaa ananiambia umenikojolea ndani. Kutoa naona ndomu ipo juu ya mashine.
Baada ya masaa 12 yaani asubuhi, jamaa akawa anauma kama kuna mdudu ananing'ata. Jamaa anachoma kweli kweli, jamaa anawaka moto kweli. Sikuhangaika kwenda kupima wala nini, nikanunua Azuma zangu nikatumia dozi ya siku 5.
Ila umalaya mbaya sana. Siwashauri mle kimasihara. Gono lipo, UKIMWI upo na magonjwa ya zinaa yapo.
Daaah hiii dunia hii nimekutan na teenage asee anafilana hatar sijui asa alianzag na miak mingap
Unakula papai unajisifuNilivyo Mula cocastic kimasihara
We mtinda nyuzi na mpaka 💋💄👄💏 unanitukana sio. Wiki ijayo nakuja mbeya, nitakutufauta hapo CUcom unaposemea Upishi.Boya mmoja tu, ngoja ufe.
Choka mbaya tu huwezi kulipia king'asti kizuri unaokota wamama mtaani.We mtinda nyuzi na mpaka 💋💄👄💏 unanitukana sio. Wiki ijayo nakuja mbeya, nitakutufauta hapo CUcom unaposemea Upishi.
Dada yako wa Mbeya aliniambukiza Gono yule mmasai na lile Pengo lake. 😀😀😀😀
Hahahaha nikija mbeya utanipa connection mkuu nitapata wapi hao?Choka mbaya tu huwezi kulipia king'asti kizuri unaokota wamama mtaani.
Vinamauno ya hatari hivyo viache tu aise.Dah jamani kumbe hawa wanawake vimbao mbao ni watamu nyie....hadi unafurahi...vipo very very portable
Nilikapata kamoja jana aisee mpaka nilikojowa povu maana shahwa zote kwisha kwenye mbupuz.Vinamauno ya hatari hivyo viache tu aise.
Safi sana mkuuMwaka huu zimenitokea mara mbili.
1.Ilikua mwezi april nipo katika harakati zangu za kurudi nyumbani,nikadaka daladala mara nikapata siti nilikaa na mdada mmoja hivi alikua simple hivi amenyoa low cut anaongea na simu kwa sauti ya chini lakini ikionekana anazozana na mtu.
Mara akasonya akaweka simu kwenye mapaja yake kisha akaegamia kiti,ukweli sikua na time nae mara akanishtua kwa salama "kaka habari,samahani naomba uniazime simu yako nipige yangu imezima" ilikua mfululizo bila hata kujibu nikampa kitochi akapiga bado akawa anazozana na yule mtu muda huo niliweza kusikia sauti ya kiume upande wa pili japo sikujua maongezi yao. Lakini dada alionekana akilalamikia jamaa anamtukana bila sababu na wala hajauliza kwanini amechelewa kwenda kwake.
Baada ya pale ni kama mchizi alisusa akakata simu na manzi kila alipopiga hakupokea,,mpaka tunafika mbagala Zakhem. Yule dada alionekana kama mtu anayewaza kitu muda huo tayari nishachukua simu yangu ile nataka kushuka jamaa yake anapiga ikabidi nimpe simu akapokea nikasikia tu anasema "sawa,umeshinda baba" akakat simu akanipa.
Muda huo gari imeshavuka Dar live binafsi nilikua na lengo nishuke Zakhem ili nicheki samaki kabla sijashuka tena kwa mara ya pili yule jamaa akawa anapiga tena nikamwambia dada mwambie mtu wako mi nashuka atafute namna nyingine ya kuwasiliana huku nikiwa tayari nimesimama yule dada na yeye akasimama tukashuka wote lakini mazungumzo yao yaliishia na mwanamke kusema asnte huku machozi yakimlenga.
Kufupisha stori kumbe yule manzi alikua mjamzito wa mwezi 1 na jamaa alikua haitaki ile mimba maana ana familia yake huku demu anafosi hataki kuchomoa na muda ule alikua ametoka kibaha kwa mathias na walikubaliana aende kwa jamaa tangu asubuhi ili wakubaliane ndo mambo yakawa mengi demu alichelewa na mchizi alikua ameshaondoka kwenda kazi(mfanyakazi wa Azam mwandege).
Muda ulikua saa 1 kasoro jioni nikamwambia kutokana hali yako twende nyumbani ukapumzike kesho utarudi kwenu au kukutana nae manzi alikubali tukaenda home (honestly sikua na lengo lolote baya ni ilikuja kama huruma na alionyesha hakuwa saw). Tumefika home nimepika pale wali samaki nikambembeleza tumekula then nimauonesha bafu nikamwambia wewe lala chumbani mimi nitalala sebuleni akasema sawa. Asubuhi saa 11 nimeamka nikamgongea nikaingia bafuni(maana lipo chumbani) nikaoga sasa nikawa nataka kusepa na yeye alionekana bado hana nia ya kuondoka asubuhi ile mtihani ukawa je niondoke nimuache?.
Manzi aligundua ile hali akaniambia kaka naomba nikae hadi saa 4 ndo niende chukua Kitambulisho changu hiki nakuahidi kama kuna kitu kitapotea utanipata muda huo jamaa yake anapiga sana simu ila hapokei,nikasema poa(hapo nilicheza kamari) tukabadilishana namba nikasepa nikamuelekeza na pakuweka funguo basi saa 5 nikaona kimya nikamcheki akaniambia bado yupo nikaguna nikasema poa,,saa 7 mchana akaniuliza narudi saa ngapi nikamwambia saa 11 jioni akasema sawa nakusubiri nikukabidhi chumba chako basi nikarejea nikamkuta bibie kashapika kafanya usafi wa nguvu sana. Nikala msosi na baada ya stori ila alionekana bado hana ratiba ya kusepa sikumuuliza akaniambia tu ameamua kumuacha jamaa aendelee na mambo yake na yeye atalea mimba kimpango wake nikamtia moyo na kumpa pole lakini kadri ya maongezi yalivyoenda ndipo tulijikuta ukaribu unazidi na ulipofika muda wa kulala niliingia ndani nichukue shuka alikuja akaniambia usijali leo tutalala wote kitanda kimoja. Sikushtuka nikasema okay tukaingia kulala and the rest ni sauti za mahaba alikaa 5 days pika pakua akaondoka zake mpaka sasa yuko na kitumbo lakini karudi kwao huko shinyanga. Ukweli nili enjoy sana yule dada alikua msafi mchangamfu na mnyumbulifu mno ilikua good test kupiga mjamzito.
2.Mpangaji mwenzangu chumba cha pili mdada miaka 38 anaishi mwenyewe hana mume ila sijui kama ana mtoto au la. Hapa tunapoishi hakuna aliye na familia wote ni masela siku hiyo wiki iliyoisha nimeamka kwenye saa 3 asubuhi nikawa nimetoka nje sasa nilizoea siku za kazi unaweza jikuta siku nzima nyumba nzima unakaa peke yako so nilitoka tu na boksa mpaka nje nia ilikua nikachukue taulo nililokua nimefua jana.
Hamadi nakutana na jirani anafua na yeye kajifunga kanga tu na alivyo na umbo kubwa lilimchora mapaja wazi ,dah na mimi nina kiboksa ilikua soo sana. Macho yaligongana niakarudi ndani upesi nikavaa bukta na vest nikatoka ,nikamsalimu lakini alionekana kama na aibu hivi. Nikachukua taulo nikaingia ndani ila roho ya uchu ilinijia nikaamua na mimi kutoa nguo chache nikafue pale pale.
Basi nikatoka nje nikaanza kufua tukiwa beneti lakini macho yangu hayakutulia tunagongana huku namwangalia sana mapaja yake,jirani aligundua hilo akaamua kuinuka kuingia ndani nikaona katoka kajifunga na kanga nyingine kiunoni ukiachana na ile aliyokua amejifunga shingoni basi nikaona jau nikafua fasta nguo zipe chache (suruali 3 na T shirt 5) nikaanika nikasepa.
Nimekaa ndani roho ya uchuku imenikamata ,ikabidi nitoke nje nikakuta anaanika ,huwezi amini matukio yote hayo hatukuongeleshana zaisi ya salamu😁. Basi kucheki time saa 6 mchana nikawa najiuliza nianzaje na upwiru umenishika mara mlango wangu unagongwa kufungua yeye akanipa karatasi yangu niliacha wakati nafua nilitoa mfukoni. "Asante" hapo akaniuliza utakula ugali ? Nikamwambia ndio je, umeshanunua mboga akasema ndio mchicha na njegere. Nikamwambia ngoja nikacheki samaki hapo akasema sawa.
Fasta nikaenda nunua samaki mkubwa badala ya dagaa😁 nilitumia kama saa hivi maana walikua bado hawaja kaanga nimerudi nimekuta na yeye ananisubiri akaniambia ingia ndani (kwake) tule pamoja ,bila hiyana nikazama na ndo ilikua kwa mara ya kwanza naingia kwake tumekula msosi tukaanza piga stori nyingi hapo ndo tukafahamiana huku akinuliza kwanini sina mke nikamjibu mauongo na yeye akasema yake pale kua devorced na mume wake na bla bla kibao nikaanza msifia pale tulikaa kama masaa 3 hivi kushtuka saa 10 jioni tukabadilishana namba za simu nikaaga nikasepa kabisa home.
Saa 3 usiku nikamtext nimletee nini maana narejea akasema chochote na emoji za tabasam ,basi nikanunua korosho nikarudi nazo namkabidhi akaniambia niingie ndani nile msosi na hapo ndo sikutoka mpaka kesho mchana 😁,kiufupi hata yeye alikua na upwiru jamaani wazee sijui kwanini ila wadada watu wazima wana test ta kipekee sana kwenye mapenzi. Nimeshapiga mara 2 tangu hiyo siku changamoto sasa siko huru tena kama mwanzo japo na yeye ameniambia najua nina mahusiano yangu so hana shida maana na yeye ana yake japo jamaa yake hajawahi kuja pale.
Pole ndefu ,nimekuchosha
Hv ww na huyo mshamba hachekwina undugu maana hamko serious kabisa, aisee mnaniacha hoi sana.... Mara useme una kibamia, Leo Tena unadai ulipiga paipu mpaka shahawer zilikata kwenye mbupu...Nilikapata kamoja jana aisee mpaka nilikojowa povu maana shahwa zote kwisha kwenye mbupuz.
Haya ya mshamba mie sipo....yangu ni ya kweli mwanawane. Kibamia ninavho kweli ila nimekuja kugundua ukipiga gym na ukakimbia aisee kibamia kina function vizuri kabisa ndio hivyo unajikuta kibamia kinaenda mwendo mrefu mwisho unakojowaa upepoHv ww na huyo mshamba hachekwina undugu maana hamko serious kabisa, aisee mnaniacha hoi sana.... Mara useme una kibamia, Leo Tena unadai ulipiga paipu mpaka shahawer zilikata kwenye mbupu...
Sasa huyo jamaa Ako mshamba hachekwi daily anapata tags za mambo ya upinde kutoka kwa bichws komwe but mshikaji hamaind yupo comfortable kabisa..... Nyie mnaniacha hoi sana.
Unyama sanaUmenikumbusha miaka kadhaa kabla sijahamia Dom niliwahi kuishi Dar mitaa ya Manzese kama ujuavyo maisha ya uswahilini enzi hizo nimepanga nyumba ya uani kachumba ka single tena chumba changu kilikuwa jirani na gate yaani kama kibanda cha mlinzi( nahisi mwenye nyumba alijenga hicho chumba kwa ajili ya mlinzi kuhifadhi mazaga yake)
Sasa enzi hizo natafuna kadada flani kanasoma form 2 ka kishua flani hivi kwao mambo swafi halafu ni pisi kali pale nyumbani wapangaji wote walimjua maana huwa anakuja kila weekend namtafuna tunashinda mpaka jioni anasepa.
Kama ujuavyo wamama wa uswahilini wakiona unaingiza demu gheto ndo wanaweka kambi dirishani kwako eti wamekaa wanasukana ukifungulia music wa bufa kwa sauti ili kuzuia sauti ya ndani isifike nje wanakugongea mlango upunguze sauti ya music eti unawapigia kelele!
Sasa siku moja demu wangu kaja tumeshinda gheto kama kawaida wale wadada wapangaji wamekaa jirani na dirisha langu eti wanasukana nikasema poa nikaendelea kupiga game mpaka jioni mida ya saa 12 natoka gheto namsindikiza demu wangu akapande boda asepe tukawapita hao wadada hapo wamekaa kama kawaida ile natoka kumsindikiza demu narudi nawapita tena wale majirani nasikia mdada mmoja ananiambia "pole kaka kwa uchovu" nami nikajibu asante wakacheka na kugonganisha viganja(kama kawaida ya wadada wa uswazi)
Dakika chache tu nikiwa gheto najiandaa kwenda kuoga nashangaa mmoja ya wale wadada(ambaye alikuwa anaishi na dadake) kasukuma mlango kaingia fasta gheto kasimama mbele yangu akatamka neno moja tu "na mimi nataka"
Nikaona hii sasa dharau nilienda kufunga mlango kwa ndani nikamvua nguo na kuanza kumshughulikia alikuwa keshaloa nadhani kutokana na zile sauti za miguno za demu wangu.
Ili kufupisha story niliendelea kumtafuna yule mdada kila siku hasa inapotokea demu wangu kaja akitoka tu usiku lazima mdada anitext nisifunge mlango anakuja usiku nakula mpaka alfajiri ndo anarudi chumbani kwake.