PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 410
- 1,118
Utakuwa ulitumia energy nyingi sana kuipiga mkuu.Kwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana