Sawa kwa udadavuajiDhamana na pesa taslimu walikuchaji wapi polisi au mahakamani?
Hakuna dhamana ya fedha taslimu polisi, ni mdhamini, barua ya mtendaji/mwenyekiti wa mtaa au Kitongoji na kitambulisho cha Mdhamini kusaini fomu.
Mahakamani ndio huwa dhamana inakadiriwa na just in case Mtuhumiwa akitoroka ndio utalipa kama ni madai au kifungo.
Uko sahihi kabisa kiongozi ila inabidi tuukubali ukweli kwamba sasa hvi tunaishi kwenye zama tofauti na zamani pale ambapo mwanamke alikuwa submissive 100% kwa mumewe ila kwa sasa mambo yanabadilika hatuna budi kuliweka katika namna ambayo haya mabadiliko yatafanya mambo yasishindikane mfano hzi ndoa zetu kwa kukumbatia asili yetu ya hapo mwanzo.Mkuu ndoa zina mambo mengi, ila kupelekana polisi kwa mtazamo wangu niliona amefika mbali. Ndoa ikishaanza kufika sijui polisi, sijui ustawi wa jamii kwa mtazamo wangu ni taa nyekundu.
Wafuasi wa kinguunda tunakuchora tuIla mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Tena unamtandika kisawasawa labda km hakijauma, nakuunga mkono hata mimi siwezi kukubali kuonewa kizembe hata machete natafuta nikupige chaleMimi huwa narudisha....mtu haiwezi kunipiga kindezi.
Hivi kamishina wa polisi anaweza kushitaki kapigwa??Sasa hapo kwa tabia ya kupiga mke selo itakuwa ndio bedroom yako!
Alionesha dharau ndo nikaona nimshikishe adabu.Sasa ww mwanaume kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga mkeo?
Kabisaa, mimi kuna vitu mtu akifanya sirud nyuma hata awe nani ni kweli kabisa there is certain disrespect that an apology or explanation will not fix, as i always say “sometimes things happen but some things should never happen” Respect the OG’sUlifanya jambo jema sana kuachana na huyo Mwanamke,
Never re-friend someone that has tried to destroy your character,Money or relationship
A Snake only sheds it's skin,
There's certain disrespect that an apology or explanation just doesn't fix.
Sasa alikimbia nini kama ni hivyo😂Hakuna shida ikiwa afande alikwenda kumwonesha choo tu 😂
Duh kwahyo hata mwanao humtaki?Nilimwachia hata hako ka baby girl, sihitaji kuunganishwa kwa lolote na huyo mshenzi.
Ilibidi iwe hivyo ili kukata kabisa mianya ya kutafutana siku zijazo.Duh kwahyo hata mwanao humtaki?
Pole sana, pia hongera kwa kumfuatilia mbali huyo mpuuzi.Ilinitokea mkuu mwaka jana niliwekwa kwa muda wa masaa 11 baada ya hapo ndoa ya miaka 10 ilivunjika nani ndoa mke akikuweka sero fukuzia mbali sip mtu huyo ni mbwa
Una mpango gani na mtoto wako, mchukue au mhudumie.Ilibidi iwe hivyo ili kukata kabisa mianya ya kutafutana siku zijazo.
Nilimwachia na mtoto.
Kwa nini hukumuuliza afande nini kilimkimbiza?Sasa alikimbia nini kama ni hivyo😂
Hili tukio lilinichekesha sana makao makuu ya nchi.
Dhambi ya zinaa ndiyo iliyomkimbiza.Kwa nini hukumuuliza afande nini kilimkimbiza?
AiseeDhambi ya zinaa ndiyo iliyomkimbiza.
Nina mashaka kama huyo mtoto ni wangu maana ka baby girl kapo copyright na maza ake, hivyo sishawishiki kukalea.Una mpango gani na mtoto wako, mchukue au mhudumie.
Duh mbona hatari pole sana mkuu.Nina mashaka kama huyo mtoto ni wangu maana ka baby girl kapo copyright na maza ake, hivyo sishawishiki kukalea.