Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Dhamana na pesa taslimu walikuchaji wapi polisi au mahakamani?
Hakuna dhamana ya fedha taslimu polisi, ni mdhamini, barua ya mtendaji/mwenyekiti wa mtaa au Kitongoji na kitambulisho cha Mdhamini kusaini fomu.

Mahakamani ndio huwa dhamana inakadiriwa na just in case Mtuhumiwa akitoroka ndio utalipa kama ni madai au kifungo.
Sawa kwa udadavuaji
 
Mkuu ndoa zina mambo mengi, ila kupelekana polisi kwa mtazamo wangu niliona amefika mbali. Ndoa ikishaanza kufika sijui polisi, sijui ustawi wa jamii kwa mtazamo wangu ni taa nyekundu.
Uko sahihi kabisa kiongozi ila inabidi tuukubali ukweli kwamba sasa hvi tunaishi kwenye zama tofauti na zamani pale ambapo mwanamke alikuwa submissive 100% kwa mumewe ila kwa sasa mambo yanabadilika hatuna budi kuliweka katika namna ambayo haya mabadiliko yatafanya mambo yasishindikane mfano hzi ndoa zetu kwa kukumbatia asili yetu ya hapo mwanzo.

Naamini shemeji pengine ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hvooo....ila binafsi naamini kuna uboya mwingine alikuwa anaufanya hapo awali sasa mwamba katika hili ukaona umalize mcheZo kabisaaa.
 
Sasa ww mwanaume kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga mkeo? Pesa umesema huna na huwezi kumsaidia si ungeendelea na mambo mengine. Hiyo hata mimi nakulaza sero ukakutane na wanaume wenzio shubhamit!
 
Ulifanya jambo jema sana kuachana na huyo Mwanamke,

Never re-friend someone that has tried to destroy your character,Money or relationship
A Snake only sheds it's skin,

There's certain disrespect that an apology or explanation just doesn't fix.
Kabisaa, mimi kuna vitu mtu akifanya sirud nyuma hata awe nani ni kweli kabisa there is certain disrespect that an apology or explanation will not fix, as i always say “sometimes things happen but some things should never happen” Respect the OG’s
 
Back
Top Bottom