Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Huwezi kuwaona , wao kama wao huwa hawataki kunasabahisha au kujitambulisha wao ni wanyiramba pamoja na wenzao wanyaturu bora wakuambie yeye ni wa Arusha 🤣
Exactly wanyiramba na wanyarturu wamejazana Sana Arusha na kusababisha kufuruga amani
 
Kwakwel hata mimi suala la kupigana silipend kabisaaaaa. Nachapa watoto wangu tuuu, hata wa jiran sigusi. Maisha yame change sana siku hiz, binadamu wamekua kama kuku broiler, kibao kimoja tu chaliii kafa.

Siku moja pastor wangu katika maongezi akaniiliza, "hivi unafikiri huwa kuna kipigo special cha kuua mkeo?, hakuna ni ugomvi huu huu wa kawaida umepiga mtama kaangukia kichwa kafa , na wala watu huwa hawatarajii, jieupushe sana na kupiga au kupigana"
 
Wanawake wa siku hizi chapa kofi moja tu,ukiongezea lazima ukaandike maelezo polisi...
Hata hilo moja tu unaweza ukapata kesi ya mauaji. Muhimu ondoka eneo la tukio itakusaidia kukuepusha na mengi.
 
kwa mfano mke amenikuta na nyumba je tutagawana Mali hzo
 
Nina mashaka kama huyo mtoto ni wangu maana ka baby girl kapo copyright na maza ake, hivyo sishawishiki kukalea.
Daah wewe baba umenisikitisha. Kwa hiyo mtoto hatakiwi kufanana na mama yake; afanane tu na baba yake? Kwa nini hukufanya uamuzi wa kupima DNA? Hivi unaweza kuitelekeza damu yako kwa sababu tu mtoto amefanana sana na mama yake?

Unajua ni vitu gani haswa unavipanda kwenye maisha ya huyo binti yako mdogo? Unajua wanayoyapitia mabinti wengi wenye "absentee fathers"? Huko ulipo moyo wako una amani zote kwa kumtelekeza binti yako; yaani nafsi hata haikushtuki????

Ondoa huo uchungu ulioubeba juu ya ex wife wako; ndiyo unaokusukuma kumchukia hata binti ambaye ume-share naye since binti ni part ya mama yake. Muepushe binti yako na trauma ambazo unaweza kuzizuia ukiamua na ukampa binti yako maisha mazuri sana hapa duniani especially with your "presence"
 
Sio poa kumpiga mkeo, hamna kisichozungumzika, utajikuta unapiga kila mwanamke usiyeendana naye.
Ila nyie mnabamizwa na bibi zenu maana nimekaa County ya Makuweni/Kajiado kote huko nimeona mnavyobamizwa nao, sio poa yaani
 
Exactly wanyiramba na wanyarturu wamejazana Sana Arusha na kusababisha kufuruga amani
Ni kweli wamejazana Arusha, nilikuwa na mmoja nikamucha maaana ningemfanya kitu kibaya wanajifanya wana kauli Chafu, Huyo demu wa kinyiramba alikuja ghetto akalala sasa mimi nikaenda kazini nikamuacha ghetto kumbe Asubuhi katumia jug la kumchemshia jama kumbe alikuwa hajui kulitumia kumbe kwenye kufungua mfuniko ili awake Maji yeye akatumia nguvu aka ung"oa na hakusema na akaondoka zake, sasa mimi baada ya siku mbili kupita nachukua jug nichemshe maji ya nakuta mfuniko umevunjwa nampigia simu namuuliza namshangaa a
 
Ila nyie mnabamizwa na bibi zenu maana nimekaa County ya Makuweni/Kajiado kote huko nimeona mnavyobamizwa nao, sio poa yaani

Vita kwenye ndoa haifai, ni ujinga...
 
Akikuvunjia heshima itabidi mzungumze nini hapo?
Mchape viwili vitatu ili ajue nani ni mwamba kwenye familia. Akileta ukaidi mtimue arudi kwa mamaye.

Ikishindikana kila mtu achukue hamsini zake, kupigana pigana kwenye ndoa sio kabisa...
 
Nimejifunza Kaka FOCAL maana hapa nipo nawaza kununua meno ya bandia mawili maana yameng'olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…