Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Mkeo alifanya uamuzi sahihi ila wewe na gubu lako ukashindwa kuelewa! Siku hiyo ulimpiga vibao asingeenda polisi kuna siku ungempiga na mwichi ukamuua kabisa.
Pole sana mkuu, ni vyema kuepukana na rabsha pale inapowezekanaNimejifunza Kaka FOCAL maana hapa nipo nawaza kununua meno ya bandia mawili maana yameng'olewa
Anacheka etiHahaaa
Huyo mtoto mwenyewe ni wa kike halafu hafanani nami wala mtu yeyote wa ukoo wa baba Kisarii, bali kafanana na maza ake. So nina mashaka kama huyo mtoto ni damu yangu.Mwamba hapa umezingua! Mtoto hana kosa, unaacha damu yako inateseka?...sad.
Ngoja nitafakari zaidi, umeongea kitu imegusa ndani ya moyo wangu.Ondoa huo uchungu ulioubeba juu ya ex wife wako; ndiyo unaokusukuma kumchukia hata binti ambaye ume-share naye since binti ni part ya mama yake. Muepushe binti yako na trauma ambazo unaweza kuzizuia ukiamua na ukampa binti yako maisha mazuri sana hapa duniani especially with your "presence"
Sijamtafuta kabisa na wala sijawahi kuwaza kumtafuta.E bwananeehh..so hamjawahi kutafutana ever since??
Vyeti nilitunziaga kwa baba yangu baada ya kumaliza masomo vipo huko hadi leo.Vyeti na nguo zako viko wapi na je hakn kikao kimekaha mjadiliwe ?
Huo ni mtazamo wako mbovu.Tumbo halihitaji mipangilio linahitaji kujazwa hizo ni mbwembwe tu za binadamu
Dah...humu ndani kuna majibu si mchezo ...kinachonifanya nicheke zaidi hadi machozi ni jamaa alichoandika na wewe ulichojibu...aisee watu mnamajibu.Mshauri wa aina yako ni wa kufungwa kamba ngumu ya katani mikononi na miguuni,kupandishwa kwenye carriers au boots za mabasi ya kuelekea Dodoma.Na ukifikishwa huko ni moja kwa moja upelekwe kwenye ile hotel ya nyota tano inayoitwa "Milembe Resorts and Hotels" uishi kwa raha hata miaka mitano.
Huna watoto na huyo mnyiramba? Au umemsusia na watotoMie najua ni chuki binafsi ya huyo mnyiramba ndio ilimfanya nitupiwe mahabusu
Si ukafanye vipimo ujihakikishie. Usimkatili mtoto kisa kukosana na mama yake, mtoto hana hatia.Huyo mtoto mwenyewe ni wa kike halafu hafanani nami wala mtu yeyote wa ukoo wa baba Kisarii, bali kafanana na maza ake. So nina mashaka kama huyo mtoto ni damu yangu.
Doohh sad sad..bas inaweza ikawa hata ulichowaza kuhusu dogo yaweza kuwa sahihi kuwa sio mwanao. Vinginevyo angekutafuta kwa ajil ya mtoto walau umuoneSijamtafuta kabisa na wala sijawahi kuwaza kumtafuta.
Mkuu nilimvumilia kwa mengi huyo mpuuzi, haeleweki kabisa, lile tukio la kunilaza selo ndio liliamua hatima ya mahusiano yetu, nilaachana naye mazimaDoohh sad sad..bas inaweza ikawa hata ulichowaza kuhusu dogo yaweza kuwa sahihi kuwa sio mwanao. Vinginevyo angekutafuta kwa ajil ya mtoto walau umuone
Wewe hujui ulisemalo Ila nimekusikia.Si ukafanye vipimo ujihakikishie. Usimkatili mtoto kisa kukosana na mama yake, mtoto hana hatia.
Ni ushauri tu, unaweza ukaufanyia kazi ama ukapotezea.Wewe hujui ulisemalo Ila nimekusikia.
Nimekusikia mkuu, ngoja niupime huo ushauri kama waweza kunisaidiaNi ushauri tu, unaweza ukaufanyia kazi ama ukapotezea.
Sawa.Nimekusikia mkuu, ngoja niupime huo ushauri kama waweza kunisaidia
mnyirambaUliyekuwa ukimuita mkeo awe na chuki binafsi na wewe?
-Ulifanya kosa kisheria kumpiga.
-ulimpiga baada ya kuwa na hasira.
-mngeachwa mrudi wote nyumbani lazima/kuna uwezekano ungemkoyonga tena ndiyo mkatenganishwa.
NB;Kutupwa selo ilikuwa ni njia bora ya kuwatuliza wote wawili hasira ziwatoke akilini na mtafakari upya mambo yenu.Halafu,hukutaka kukubali moyoni mwako kwamba ulikosea kupiga. Na mwishowe ukaikimbia nyumba na kumtwisha lawama mtu unayemwita "mnyiramba" badala ya kulijutia kosa lako.Hadi mke anang'ang'ania umpe hela ambazo kiuhalisia yawezekana haukuwa nazo umeonesha huna uwezo wa kujieleza,kumshawishi mtu akuamini na kusuluhisha mambo kwa amani.