Huna haja ya kuchukia, jifunze kupuuziaTuache unafiki kila mtu ana namna yake ya kumchukia mtu hata kama humjui..
Mfano: Huwa nachukia mtu wale wanaojiona ni manguli wa jukwaa fulani, na hao wanapatikana sana sana MMU, unakuta mtu kaanzisha uzi wake wa kuomba ushauri au msaada wa jambo fulani, mwisho wa siku wanatoke wale vihere here wanakuja kupindua mada husika na kuleta stori zao binafsi za kipuuzi ambazo kiuhalisia halikuwa dhumuni la mada husika..
Kiujumla wanawakwaza na kuwakasirisha watu kwa tabia zao za kilimbukeni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi nimetoa bure shemeji, ila ukitaka kitu siku nyingine ntakwambia umtume bro ndo aje nimpe ili ulipe wewe.
Cc hazina haraka hizo. Ila nitajitahidi niwe napita kimya kimya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa sijui watamaaliza saa ngapi, maana muda nao unaenda!
Nakusabahi tu.Kulikoni?
On the real siwezi kumchukia nisiyemjua.
Huo utakuwa ni umajinuni.
Sijui ukoje, sijawahi hata kuisikia sauti yako, sijui ulipo, yaani sikujui mwanzo mwisho sasa nitaanzaje kukuchukia?
Hata haiingii akilini kabisa.
Ila mimi nishawahi kuona humu watu wanaodai kuwa eti wananichukia ilhali hata hawanijui!
So go figure...
Anajua saana.binafsi niliwahi kumchukia faizafoxy kwa sababu ya udini, ila kuna mambo mengine nikaona anamichango mizuri na nahisi ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi, automatically nikatokea kumpa like kwenye contents zake nyingi 🙂, vile vile yupo bora kwenye lugha
[emoji2] [emoji2] [emoji2] usisahau malimau kuja nayo pmHahahaha... kama ndiyo hao mwenyewe wananikera yaani hadi nahisi kutapika wacha nije pm tutapike wote akizidiwa mmoja mwingine akamchotee maji [emoji125] [emoji125]
Usijali my. Msalimie mwanao Heaven Sent mwambie kesho nakuja kuwasalimia
Haya mama acha nije tutapishane[emoji2] [emoji2] [emoji2] usisahau malimau kuja nayo pm
Mie na Rogie tunakusalimiaNakusabahi tu.
Haha haya master.
Sikutia neno mie kwenye ule uziAiseeh.... unaundugu na mod nene
Walianza story kwenye uzi wa mtu..Kwani walifanya nini hadi wakapigwa ban?
Mimi namchukia sana faiza foxy kwasababu ya udini wake na kuchukia wakristo
Teh teh teh....mask on, fcuk it mask off
Hapa nilipo na cruise down on Old Milton Parkway huku nikisikiliza Mask Off...man that joint is lit!!!
Life is has never been better.....hahahahahaaaa
Siku nami nikikuita KaniG sijui ntapewa ban?