Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Huna haja ya kuchukia, jifunze kupuuziaTuache unafiki kila mtu ana namna yake ya kumchukia mtu hata kama humjui..
Mfano: Huwa nachukia mtu wale wanaojiona ni manguli wa jukwaa fulani, na hao wanapatikana sana sana MMU, unakuta mtu kaanzisha uzi wake wa kuomba ushauri au msaada wa jambo fulani, mwisho wa siku wanatoke wale vihere here wanakuja kupindua mada husika na kuleta stori zao binafsi za kipuuzi ambazo kiuhalisia halikuwa dhumuni la mada husika..
Kiujumla wanawakwaza na kuwakasirisha watu kwa tabia zao za kilimbukeni.