Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Tuache unafiki kila mtu ana namna yake ya kumchukia mtu hata kama humjui..

Mfano: Huwa nachukia mtu wale wanaojiona ni manguli wa jukwaa fulani, na hao wanapatikana sana sana MMU, unakuta mtu kaanzisha uzi wake wa kuomba ushauri au msaada wa jambo fulani, mwisho wa siku wanatoke wale vihere here wanakuja kupindua mada husika na kuleta stori zao binafsi za kipuuzi ambazo kiuhalisia halikuwa dhumuni la mada husika..

Kiujumla wanawakwaza na kuwakasirisha watu kwa tabia zao za kilimbukeni.
Huna haja ya kuchukia, jifunze kupuuzia
 
Basi nimetoa bure shemeji, ila ukitaka kitu siku nyingine ntakwambia umtume bro ndo aje nimpe ili ulipe wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji nashukuru.
Ila sitataka tena kingine maana naogopa kulipa.
 
Mimi namchukia sana faiza foxy kwasababu ya udini wake na kuchukia wakristo
 
On the real siwezi kumchukia nisiyemjua.

Huo utakuwa ni umajinuni.

Sijui ukoje, sijawahi hata kuisikia sauti yako, sijui ulipo, yaani sikujui mwanzo mwisho sasa nitaanzaje kukuchukia?

Hata haiingii akilini kabisa.

Ila mimi nishawahi kuona humu watu wanaodai kuwa eti wananichukia ilhali hata hawanijui!

So go figure...

We jamaa siku nukifunguliwa nikakuita Ustaadh Swaleh si ajabu nikapigwa ban.

Pole mkuu.
 
binafsi niliwahi kumchukia faizafoxy kwa sababu ya udini, ila kuna mambo mengine nikaona anamichango mizuri na nahisi ni mtu mwenye uelewa wa mambo mengi, automatically nikatokea kumpa like kwenye contents zake nyingi 🙂, vile vile yupo bora kwenye lugha
Anajua saana.
 
Hahahaha... kama ndiyo hao mwenyewe wananikera yaani hadi nahisi kutapika wacha nije pm tutapike wote akizidiwa mmoja mwingine akamchotee maji [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] usisahau malimau kuja nayo pm
 
We jamaa siku nukifunguliwa nikakuita Ustaadh Swaleh si ajabu nikapigwa ban.

Pole mkuu.

Teh teh teh....mask on, fcuk it mask off

Hapa nilipo na cruise down on Old Milton Parkway huku nikisikiliza Mask Off...man that joint is lit!!!

Life is has never been better.....hahahahahaaaa

Siku nami nikikuita KaniG sijui ntapewa ban?
 
Teh teh teh....mask on, fcuk it mask off

Hapa nilipo na cruise down on Old Milton Parkway huku nikisikiliza Mask Off...man that joint is lit!!!

Life is has never been better.....hahahahahaaaa

Siku nami nikikuita KaniG sijui ntapewa ban?

Mod siku hizi hata hawaeleweki mkuu, ukishangaa shangaa tu uko ban.

Niaje lakini?
 
Back
Top Bottom