Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mimi wakinikashifu au wakinitukana ndio nazidi kuwapenda...yaani roho inasuuzikaaa [emoji23]


Hebu naomba unitukane sasahv pls.
unanitafutia bun kwa nguvu wewe. nimekushtukia
 
Kwa kweli wapo ambao maandishi yao hayanifurahishi, wao ni mitusi kwa kwenda mbele hivyo nimewapiga infinity ignor! Hahahaha
hilo ndo maana sio kupigishana makelele
 
wanasumbua Sana. ila wakikua wataacha
 
Kuna mtu alishasema ukitaka kumpata mwanamke aliyefunga pm humu gombana naye kisha atakuja pm kuomba msamaha.. akishakuja unaanzia hapo hapo.

Like nimekupa bwana shemeji. Nitakunyimaje wakati unataka ziwe nyingi uwe maarufu kama naniii
hii mpya kwangu
 
Mm huwa napenda tuu sijui kuchukia mtu labda anichukize.
 
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Member wa humu hasa washiriki wa MMU ni changamoto ila hawapaswi kuchukiwa
 
unamchukiaje mtu humjui tena mm nisijue unanichukia nikijua nitakupendaje nitalike tu comments zako nitakuquote hata usipojibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…