Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
2fb4656cd67d28fd8a002b7e19261044.jpg


Cc Smart911
haswa
 
Nimekumbuka kitu flan, kuna jamaa anapenda sana kuzungumzia inshu za St joseph, sijui migomo sijio nn. Anamatusi kinyama, binafs nikafkiria kwa Ma great thinkers wanazi sio rhc ilbd leo niangalie profile yake kumbe ka ji register May 05 2017.
Anajiita cjui city hunter 1922,
Binafsi siwez mchukia hope atabadrika
wanasumbua Sana. ila wakikua wataacha
 
Kuna mtu alishasema ukitaka kumpata mwanamke aliyefunga pm humu gombana naye kisha atakuja pm kuomba msamaha.. akishakuja unaanzia hapo hapo.

Like nimekupa bwana shemeji. Nitakunyimaje wakati unataka ziwe nyingi uwe maarufu kama naniii
hii mpya kwangu
 
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Member wa humu hasa washiriki wa MMU ni changamoto ila hawapaswi kuchukiwa
 
unamchukiaje mtu humjui tena mm nisijue unanichukia nikijua nitakupendaje nitalike tu comments zako nitakuquote hata usipojibu
 
Back
Top Bottom