Kalale wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haya nimeacha basi nakuombea ujazwe nguvu zikuingie zikuondolee huo unyongeTeh teh teh
Unajua fika mmetoka njia moja... Lakini umeamua kunifanya mie mnyonge wako
Mie napenda tu unavyojua kushusha mistariT naanzaje mm kukuchukia sijui unafananaje shemeji yangu hakuna ulichonikosea ungenikosea mbona ningekwambia tu mm ndio nipo hivyo shem kuwa na amani zote nakupenda shemela wangu roho ya Dada angu sakayo
Nakuambia Daby, unajua ukimchukia mtu bac ikitokea ukimuona tu moyo unaripuka, so yote ya nn?? Bora kusamehe bacWacha bwana
HayaAchana nalo...! Hata hakuna haja ya kujua.
AmeeenKalale wewe
Haya nimeacha basi nakuombea ujazwe nguvu zikuingie zikuondolee huo unyonge
[emoji101][emoji101][emoji101]Ha ha ha.
Nikimua kukuchukia nakuchukia kweli.Nakuambia Daby, unajua ukimchukia mtu bac ikitokea ukimuona tu moyo unaripuka, so yote ya nn?? Bora kusamehe bac
Haina mbaya as long as najua uko mahali unatusua hela ya kumuweka kasie town..Labda ila sijui. Miandiko sometimes inadanganya kama hauamini niulize.
Aseeh nipo mbali mbali na ara.
Mm ctakuchukua, daima sambaza upendo usisambaze chuki.Nikimua kukuchukia nakuchukia kweli.
Pamoja bro.Haina mbaya as long as najua uko mahali unatusua hela ya kumuweka kasie town..
Keep rocking Brother! Keep Going.!
ila kuna watu hawanipendiIla ni nini mkuu?
Hahahaa hiyo itakua ni mtihani bwana shemeji, teh teh teh kumbuka mwanao wa mwisho ndo kwanza ana mwaka
Usiku mwema, sikufanyii shobo tena [emoji1] [emoji1]Mie kiukweli sina chuki na mtu il a sipendagi shobo za MTU kuniquote alafu anaandika upupu""! Yaani ukijichanganya utanichukia mwenyewe tu..thou sikujui hunijui hahah
hahahh hivi bado mnaendelea pamoja unataka kuwowa bamdogoMkubwa mkubwa mamdogo wako sio wewe.
Hahaaa...Pamoja bro.
Ana tabia yake moja nikiwa naingia toka kwenye mihangaiko akinikumbatia ananishika mfukoni kuhakikisha nimeleta! !!
Usiku mwema, sikufanyii shobo tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mie kiukweli sina chuki na mtu il a sipendagi shobo za MTU kuniquote alafu anaandika upupu""! Yaani ukijichanganya utanichukia mwenyewe tu..thou sikujui hunijui hahah