Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Nasema hiviii...sikubali!!
73ecdc8225393c7bb7f7356860db6766.jpg
wewe endelea kumchungulia huyu mchuchu acha ni tete na arabian queen
 
Hahahaa hiyo itakua ni mtihani bwana shemeji, teh teh teh kumbuka mwanao wa mwisho ndo kwanza ana mwaka
Kumbe shemeji? Hahaha blaza shkamoo sana... pamoja na matatizo kumbe alikuwa akifanya kazi kwa bidii??
 
Mie kiukweli sina chuki na mtu il a sipendagi shobo za MTU kuniquote alafu anaandika upupu""! Yaani ukijichanganya utanichukia mwenyewe tu..thou sikujui hunijui hahah
Kama hivi.

Upupu.
 
Hapo nimemaaanisha ikitokea nimekuchukia aseeh utapata shida saana..ila hadi nikuchukie utafanya kazi ya ziad
Ucpende kuwa ivo, icho kinaitwa kibri na sio sifa nzuri kwa binaadam
 
Usiku mwema, sikufanyii shobo tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha ha hamna bana shostiz hamnaga noma ila hivi vidume vinajikutaga kweli" yaani MTU anataka uandike vile anavyowaza yeye ukiandika against hiyo mitusi utakayokula aisee!!
 
Back
Top Bottom