Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siikumbuki vizuri pacha mana nilikuwa napitapita sehemu. Ila tutajua tu tusiwe na haraka pacha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]ni komenti namba ngapi.
kama ni tofauti na matarajio yangu hautonunua tena willchea[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mwili mmoja au unataka vijana wachangamkie fursa!Sasa mie nimeingia vipi hapo
Nishamwambia tayari,atakaa pembeni.Maana hachelewi kuniharibia huyo
Hilo jina ngeniiiiNimeshamkumbuka Johnson meki
Haya yameisha ila kishingo upande[emoji18] [emoji18] nisamehe shemeji
[emoji2] [emoji2] shukrani sana, tutaanza kujaribu jaribu sasa
T naanzaje mm kukuchukia sijui unafananaje shemeji yangu hakuna ulichonikosea ungenikosea mbona ningekwambia tu mm ndio nipo hivyo shem kuwa na amani zote nakupenda shemela wangu roho ya Dada angu sakayoNajua unanichukia!
I wanted to know this..
Labda ila sijui. Miandiko sometimes inadanganya kama hauamini niulize.Wewe mdogo wangu...[emoji28]
Uko kipande kipi sasa hivi?
Wacha bwanaSitamchukia mtu, c hapa jf wala kwengineko, hata km namjua akinikera nitamuomba mm yaishe, mambo ya bfu zisizo mpango zinapunguza umri wa kuish!!
Teh teh tehMwili mmoja au unataka vijana wachangamkie fursa!
Eeh nidanganye nidanganye basi hata kiarabu.. ndiyo lengo langu la kumfukuzaNishamwambia tayari,atakaa pembeni.
Mie nimesahau shangazi.shangazi kwani we ulimaanisha nini [emoji85] [emoji85]
Achana nalo...! Hata hakuna haja ya kujua.Hilo jina ngeniiii
Mungu azidi kumponya shem [emoji120][emoji2] [emoji2] Mzee hajambo, na Namshukuru M/Mungu wiki mbili hizi tulianza mazoezi ya Gym kuimarisha nyonga mambo yalikwenda vizuri maana mpaka sasa naweza sema amepona kwa kiasi kikubwa
Ha ha ha.Eeh nidanganye nidanganye basi hata kiarabu.. ndiyo lengo langu la kumfukuza