Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Sitamchukia mtu, c hapa jf wala kwengineko, hata km namjua akinikera nitamuomba mm yaishe, mambo ya bfu zisizo mpango zinapunguza umri wa kuish!!
 
ni komenti namba ngapi.
kama ni tofauti na matarajio yangu hautonunua tena willchea[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Siikumbuki vizuri pacha mana nilikuwa napitapita sehemu. Ila tutajua tu tusiwe na haraka pacha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji2] [emoji2] Mzee hajambo, na Namshukuru M/Mungu wiki mbili hizi tulianza mazoezi ya Gym kuimarisha nyonga mambo yalikwenda vizuri maana mpaka sasa naweza sema amepona kwa kiasi kikubwa
Amina... Amina... Amina...

Mungu aendelee kumpigania...

 
Najua unanichukia!

I wanted to know this..
T naanzaje mm kukuchukia sijui unafananaje shemeji yangu hakuna ulichonikosea ungenikosea mbona ningekwambia tu mm ndio nipo hivyo shem kuwa na amani zote nakupenda shemela wangu roho ya Dada angu sakayo
 
Back
Top Bottom