Sawa kivuruge cha LT naanzaje mm kukuchukia sijui unafananaje shemeji yangu hakuna ulichonikosea ungenikosea mbona ningekwambia tu mm ndio nipo hivyo shem kuwa na amani zote nakupenda shemela wangu roho ya Dada angu sakayo
nilitaka tu dada kujua ni mimi kweli shunie mimiHahaha
Yaani wewe Kivuruge kweeeli
Hahahaaa...Mie napenda tu unavyojua kushusha mistari
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha
Ni Sawa tuu
Hapo nimemaaanisha ikitokea nimekuchukia aseeh utapata shida saana..ila hadi nikuchukie utafanya kazi ya ziadMm ctakuchukua, daima sambaza upendo usisambaze chuki.
Kama hivi.Mie kiukweli sina chuki na mtu il a sipendagi shobo za MTU kuniquote alafu anaandika upupu""! Yaani ukijichanganya utanichukia mwenyewe tu..thou sikujui hunijui hahah
Nipo nduguUpogo?
Ucpende kuwa ivo, icho kinaitwa kibri na sio sifa nzuri kwa binaadamHapo nimemaaanisha ikitokea nimekuchukia aseeh utapata shida saana..ila hadi nikuchukie utafanya kazi ya ziad
Basi sawa ili mradi usije mkafikia huku. Arabian queen hakulelewa kufanya mambo hayo.wewe endelea kumchungulia huyu mchuchu acha ni tete na arabian queen
Kaskazn kwema?Nipo ndugu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mie nimesahau shangazi.
Ha ha ha hamna bana shostiz hamnaga noma ila hivi vidume vinajikutaga kweli" yaani MTU anataka uandike vile anavyowaza yeye ukiandika against hiyo mitusi utakayokula aisee!!Usiku mwema, sikufanyii shobo tena [emoji1] [emoji1] [emoji1]