vipi tena bamdogo unanifukuza nikalaleKalale wewe
Haya nimeacha basi nakuombea ujazwe nguvu zikuingie zikuondolee huo unyonge
Tapika baba,ngoja nikukingie mikono kabisaMimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Huu sio upupu kuna upupu zaidi ya huu! Ipo Siku nitakuita ushudie live...Kama hivi.
Upupu.
Ndio nilivyoumbwa Dada anguMie napenda tu unavyojua kushusha mistari
[emoji18][emoji18]Ucpende kuwa ivo, icho kinaitwa kibri na sio sifa nzuri kwa binaadam
hyo ni sakayo ndio kakuambia hizi habariHaina mbaya as long as najua uko mahali unatusua hela ya kumuweka kasie town..
Keep rocking Brother! Keep Going.!
Haha. Nachompendea file lake sio rangi ya mido isti tu lina hadi nundu ona
jamaanHahahaaa...
Mistari ya ulaya
Haha poa.Huu sio upupu kuna upupu zaidi ya huu! Ipo Siku nitakuita ushudie live...
Haya nimekuacha ila utakayoona bamdogo anafanya mezeavipi tena bamdogo unanifukuza nikalale
Ulijuaje nimekumissTapika baba,ngoja nikukingie mikono kabisa
nakujua baba angu mdogoHaya nimekuacha ila utakayoona bamdogo anafanya mezea
Hunishindi mie Daby wangu. Sasa fanya namna basiUlijuaje nimekumiss
Wacha tujaribu ile namna nyingine ya ndoto ime-expireHunishindi mie Daby wangu. Sasa fanya namna basi
Habari zipi?hyo ni sakayo ndio kakuambia hizi habari
Mbona mwanionea hivi mie jamani...hyo ni sakayo ndio kakuambia hizi habari
Akikujibu niiteHabari zipi?
mamdogo mkubwa mkubwa kipenzi chake bamdogo DabyHabari zipi?
Nisipokuchokoza ww nimchokoze nani [emoji2]Mbona mwanionea hivi mie jamani...