moghaka wane
Member
- Apr 8, 2017
- 17
- 13
Saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nimalizie sentensi yako vizuri!..... empire![emoji4][emoji4][emoji4]Mchokoze lee
Si kweli, Hitler hatukumuona, lakini tunamchukia kwa matendo yake, kauli zake TULIZOAMBIWA!Mara nyingi chuki huambatana na WIVU.Sasa unapomchukia mtu ambae hata hujamuona ni dalili ya kupungukiwa na baadhi ya vitu vinavyokamilisha kichwa cha mwanadamu
Ulivyoandika Ila Nikawaza Kwanza KinachofuataMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Hivi hii eneo ni wapi maana mianzi inafanyiwa matukio sana hii
HahahahahaMimi nitakuwa mnafiki kusema hakuna watu nawachukia humu:
Kuna watu humu ni wagomvi au wanapenda kutukana tukana hovyo, ili nisimjibu au kuendelea kukereka na issue za mtu huyo huwa naenda kwenye kitufe cha ignore nakibonyeza mchezo umekwisha.
Mfano, zamani GENTAMYCINE alikuwa ni mkorofi sana na anatukana ovyo, nikamwignore, siku hizi jamaa kabadilika sana na hata akitukanwa anajibu vizuri tu, so hayuko tena kwenye ignore list yangu.
Hii ni list yangu ya watu ambao wako kwenye ignore list kwa sababu zangu mwenyewe:
View attachment 512005
Pole kwa kunifikiria vibaya hapo mwanzoni ila pongezi pia kwa kutambua umuhimu wa GENTAMYCINE Mkuu.
Heheheengoja nimalizie sentensi yako vizuri!..... empire![emoji4][emoji4][emoji4]
Hmm kaingilia wapi,anachangia kama member wngn wanavochangia sjaona kosa lake hapoFaizaFoxy manina zake aisee anaingilia sana mada za wa2 mara cjui hujui kuabdika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh Mimi yupoo namjua kwa picha kbsaaa lbd ukute alinitumia ya uwongo yani simpendi mpk shetani wanajua simpendiii.......
..najua anajijuaaaa[emoji57] [emoji57]