OhoooooooooooooIvi unakazanaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji7][emoji7][emoji7] ur welcome[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7]
Pole nami mdadisi. Unadhani alikuja kukuchunguza ww???
Yaani ungejua ninavyokuchukia, ungenifuata pm uniombe msamaha tu...Jf kila mtu msafi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Thanks[emoji7][emoji7][emoji7] ur welcome
PoleHapana ila wale watu hawaaminiki kamwe....wanaweza kukuuza anytime.
Nani?Kama yupo huyo akifikisha miaka 90 atakua anapaa na ungo maana uchawi wake sio wa kawaida
Ukimchukia mtu humu ona una sababu za kuonana na wataalamu wa afya ya akiliMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Pole.Ni kweli mm nimewahi mchukia kwasababu aliacha kuchangia hoja na baada yake akaanza kunitukana
Tena wale bingwa [emoji16][emoji16]Ukimchukia mtu humu ona una sababu za kuonana na wataalamu wa afya ya akili
AsantePole.
Huyo anajitambua. Sasa kuna wajinga wengine unakwaruzana nae jukwaa la siasa anakufuata majukwaa yote kukusumbua saa nyingine anabadili hadi ID aje akutukane tu.....Sijawahi kumchukia mtu humu. Ila kuna wanaonikera sana kwa uchangiaji wao.
Kuna mtu unaweza ukakwaruzana nae kwenye group la siasa,ila ukaenda kwenye chit chat ukafurahi kwa alichopost. Au akakukera kwenye Habari Mchanganyiko ila mkacheka pamoja MMU.
Ila saying the truth kuna member mmoja hakuna thread yoyote aliyowahi kuanzisha (ambazo nilizipitia) au sehemu yoyote aliyowahi kucomment alafu nikamuelewa. Mara kama 3 hivi nishawahi kutaka ufafanuzi tukaishia kukerana na majibu yake.
Ila nilivyogundua sio mimi tu ambaye hatuivi pamoja,nikaamua kutemana nae. Now days sim "quote" kwa chochote.
Na ni bora hatujuani,maana angekujua angeweza kukupigia hata na simu mtu kama huyo.Huyo anajitambua. Sasa kuna wajinga wengine unakwaruzana nae jukwaa la siasa anakufuata majukwaa yote kukusumbua saa nyingine anabadili hadi ID aje akutukane tu.....
Akili finyu sana hizoHuyo anajitambua. Sasa kuna wajinga wengine unakwaruzana nae jukwaa la siasa anakufuata majukwaa yote kukusumbua saa nyingine anabadili hadi ID aje akutukane tu.....
hao hapo
hao hapo