Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Jf kila mtu msafi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yaani ungejua ninavyokuchukia, ungenifuata pm uniombe msamaha tu...
 
Kumchukia mtu mpaka ashinde shindano la kuweza kuichukiza akili yangu kwanza.

Shindano hilo si la kitoto maana linataka uwe na akili sana kuweza kunichukiza.
 
Sijawahi kumchukia mtu humu. Ila kuna wanaonikera sana kwa uchangiaji wao.

Kuna mtu unaweza ukakwaruzana nae kwenye group la siasa,ila ukaenda kwenye chit chat ukafurahi kwa alichopost. Au akakukera kwenye Habari Mchanganyiko ila mkacheka pamoja MMU.

Ila saying the truth kuna member mmoja hakuna thread yoyote aliyowahi kuanzisha (ambazo nilizipitia) au sehemu yoyote aliyowahi kucomment alafu nikamuelewa. Mara kama 3 hivi nishawahi kutaka ufafanuzi tukaishia kukerana na majibu yake.

Ila nilivyogundua sio mimi tu ambaye hatuivi pamoja,nikaamua kutemana nae. Now days sim "quote" kwa chochote.
Huyo anajitambua. Sasa kuna wajinga wengine unakwaruzana nae jukwaa la siasa anakufuata majukwaa yote kukusumbua saa nyingine anabadili hadi ID aje akutukane tu.....
 
Huyo anajitambua. Sasa kuna wajinga wengine unakwaruzana nae jukwaa la siasa anakufuata majukwaa yote kukusumbua saa nyingine anabadili hadi ID aje akutukane tu.....
Na ni bora hatujuani,maana angekujua angeweza kukupigia hata na simu mtu kama huyo.
 
Sijawah chukia mtu,ktk maisha yakawaida mtu kanikera namfata namwambia nitoe la rohon alaf yanaisha maisha yanakwenda,iweje nichukie mtu wa jf ilhali hata kumjua simjui for no reason.
 
f791a1a75f318d12fd1aab86f554c86e.jpg
7bd761f4f33bfa43023896588c3c8496.jpg
bde9ebf57e724836035bcbee51e243d4.jpg
6e664edc004266e52c45209090d406d0.jpg
92543e7c4a48f3ba147dc5c7f67d5ebb.jpg
4197b7dfe5ae6e561055028e8598f2a4.jpg
hao hapo

Asante sana, huyo wa mwiso nimemwelewa sana.
 
Back
Top Bottom