Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Wowote, ila nadhani this time wa kike itakuwa safi.
18380370_283170268819554_6172093107882950656_n.jpg
18380689_1493864917354452_6583047020557107200_n.jpg
18161613_483002332091484_1267659365486166016_n.jpg
18298411_440108826342885_1359140730076921856_n.jpg
18513190_469133753419349_477592284481716224_n.jpg
 
mi yule makonda oyeee Mara ya kwanza nilikua namchukia...ila sasa hivi namuona kama kituko yani nikionaga ile oyeeeee nacheka balaaa
 
Aah usiishie hapo wee endelea tu,wengine tunafuta mpaka watimie sita saba

Halafu conglats
images(34).jpg
images(33).jpg
images(32).jpg
images(30).jpg
images(29).jpg

Mimi ni baba, siyo baba kijacho.

Two kids, mkubwa wa kiume, mdogo wa kike, ndo maana nahamia kwa wakike sasa hivi.
 
Mimi nawachukia sana watu ambao wanatoa ushauri wao out of thread, halafu unakuta umeomba msada wa kitu fulani, na Uzi ushatembea hadi umefikia page nyingi tu lakini bado hujapata jibu sahihi
 
Sijawahi kumchukia mtu humu. Ila kuna wanaonikera sana kwa uchangiaji wao.

Kuna mtu unaweza ukakwaruzana nae kwenye group la siasa,ila ukaenda kwenye chit chat ukafurahi kwa alichopost. Au akakukera kwenye Habari Mchanganyiko ila mkacheka pamoja MMU.

Ila saying the truth kuna member mmoja hakuna thread yoyote aliyowahi kuanzisha (ambazo nilizipitia) au sehemu yoyote aliyowahi kucomment alafu nikamuelewa. Mara kama 3 hivi nishawahi kutaka ufafanuzi tukaishia kukerana na majibu yake.

Ila nilivyogundua sio mimi tu ambaye hatuivi pamoja,nikaamua kutemana nae. Now days sim "quote" kwa chochote.
 
Back
Top Bottom