Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
Mi nalivhukia sana li Zekukoyo kama na wewe hulichukii hili lijamaa utakua ina cheti feki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeipost picha ni mwenye hati miliki, wewe chukua hiiView attachment 512603
Hii nimeipenda, ila nitafutie zingine kama 4 zenye watoto watundu nichague moja kama avatar.
Watoto wa kike au wa kiume?
Siyo wa hivyo, nataka watoto wadogo, umri kama wa huyo wa kwenye avatar yangu.
Aiseee baba vijacho utawajua tu. Poa
Mimi ni baba, siyo baba kijacho.
Two kids, mkubwa wa kiume, mdogo wa kike, ndo maana nahamia kwa wakike sasa hivi.
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Ee sidhan kama namfikia huyu mrembo jaman maana mie ni kopirait na huyuView attachment 512604
Aah usiishie hapo wee endelea tu,wengine tunafuta mpaka watimie sita saba
hivi kafia wapi yeye na lizaboni siwaoniHamna mtu nisiye mpenda humu kama Faiza Foxy
Siyo wa hivyo, nataka watoto wadogo, umri kama wa huyo wa kwenye avatar yangu.