Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

espy na Kasie njooni huku mseme huwa mnamchukiaga nani![emoji125] [emoji125] [emoji125]............For me i have decided to stick with love since hate is too great a burden to bear!
 
like me. sasa unakuta mtu mlibisha katika thread nyingne. ukija mquote anauchuna
 
kuna dada nilijibishana nae kwenye mada flani. . ila nilijibishana nae kwa vile nilikuwa mgeni. na nilikuwa sijawasoma watu wa hapa. I'm sorry sisste
 
Hebu malizia hiyo ...ila
ila kuna mtu nilikwazana nae. kuna siku ntamwomba msamaha. tulikoseana wote Lakini. ila Mimi sijisikiagi vizuri. na wala sijawahi kumchukia . nampenda
 
Sijawahi na sijui kama itakuja kutokea,kwann nimchukie wakati simfahamu?

-Pia mbali na kuto mfahamu hii ni jamii kwa hiyo hatuwez kuwa sawa woote,lzm tupishane.

-Na ukikuta unamchukia mtu humu ichunguze akili yako vizur.unaweza hisi mzima kume ww mgonjwa siku nyingi sana
 
Sitakiiii ndio...
Unaanzaje kumchukia mtu sasa, tena hata humjui kabisaa....

Pm sikujui we endelea kunichukia tuu.. Halafu weka like hapo kama unanichukia
Wakupe like tu [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…