Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Akawaza aunty yangu ananichukia tena hili si balaa hili!!!Hahahaa! Aunt ameshutuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akawaza aunty yangu ananichukia tena hili si balaa hili!!!Hahahaa! Aunt ameshutuka
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Tunakupenda pia mpendwa.
Mis you[emoji8] [emoji8] [emoji8]hii mpya kwangu
Ooops we love you too aunt. Of coz ya one of the beautiful souls, kumchukia mtu nehiiiiHahaaa! Sijafikia huko aunt. Najikuta nawapenda tu.
Jicho limenitokaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mara ghafla tag kwenye uzi wa chuki.
nilikua naumwa shangazi hahahh eti nilifichwa wapi shangaziAlafu shangazi ulifichwa wapi?
ThanksKaribu.
Haijawahi bhna.. au unataka sisi tugombanewaombane salama misamaha naona imeshakukuta bamdogo
Aaaaaaah, ushaniuzi...sasa kwa kukukomoa, kuanzia leo SIKUCHUKII...mfyuuuu!utakuwa unajichukia hata ww mwenyewe
Ila ni nini mkuu?Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
mvunja viuno anaomba uje univunje changu na sitochukia kwa kivunja.Siwezi mchukia mtu nisiye mjua
Yaani mvua ziishe nawe uumwe!! Shangazi si kila siku nakwambia punguza lakini?nilikua naumwa shangazi hahahh eti nilifichwa wapi shangazi
Unataka kumnyima nn Shunie wewe mpaka unamzeeshaIpo mamdogo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] aunt yake.Ooops we love you too aunt. Of coz ya one of the beautiful souls, kumchukia mtu nehiiii