Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Hatujambo pia, umeadimika tu hadi nikajua ulikumbwa na lile zoezi la kukatiwa mirija ya watoto ya ulaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna bwana, nipo majukumu Dear,wiki 2 hizi muda wa ziada nilikua nautumia Gym hivyo nilikua napita Mara moja moja
 
Teh
Haya bwana majukumu mema na ujazwe mapene teletele wanetu wafurahie maisha
 
[emoji2] [emoji2] Amin, naamini zitajaa maana Gym ya mzee kwa ajili ya nyonga imekwenda vizuri sana
 
Back
Top Bottom