miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ooh jamanio[emoji7][emoji7] nakupa baraka jamani. Pokeaaa baraka hizi. Palipokupungukia mola akakuongezeee. Usipumgukiwe hata kidogo...Amina, unajua kama familia mlizoea ishi maisha flani gafla unaona mambo ya mebadilika lazima kama kijana mkubwa uwajibike kufix mambo, mwanzoni ishu kama kusomesha madogo niliona ni jukumu la mzee ila mzee alikomaa pensheni yake hasomeshi madogo akati sie tupo. So napo ikabidi tuwajibike, yeye hela yake ni kinywaji tu mengine sie tuna mrekebishia.
Ila sijui huwa niko too emotional jamani[emoji28][emoji28][emoji85]